Je, Kuna uhusiano gani kati ya msimamo wa mzazi na uzao wake?

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Feb 9, 2019
859
1,012
Inasemwa mara nyingi kuwa eti ndani ya nyumba kama baba ndiye mwenye kauli basi kuna uwezekano mkubwa wa mke kuzaa watoto wa kiume. Na kama mama ndio mwenye kauli na mamlaka basi hata kizazi yaani wanazaliwa watoto wengi wakike tena waweza ona kalibia wote ni wakike. Je kuna uhuusiano gani hapa?
Maana kuna kamsemo eti ukizaa tu katoto ka kwanza ka kike utasikia wanasema mama kamzidi ujanja/yaani kamuongoza.
Je kuna uhusiano gani hapa wajuvi wa haya mambo????
 
Wengi wa wanawake ni mabaunsa ndani na wanaongoza kuzaa madume,,,,,,

Ikitokea mwanamke hana sauti na mwanaume ndoivo huwaga wanazaa wajike kadume kamoja kakufutia chozi.
 
Back
Top Bottom