Je, kuna Tundu (Hollow) katika Ncha ya Kaskazini linalotoa miale ya Mwanga kutokea Ndani ya Dunia?

Kwani hujui kama duniani kuna viumbe wengine?
Au unaelewaje neno 'viumbe'!?
Nilimaanisha viumbe jamii ya binadamu ndugu, possibly hujafuatilia mjadala tangu mwanzo. Labda ni kwa sababu ninakosa kiswahili kizuri cha viumbe jamii ya binadamu (humanoids). So usi-complicatishe bure mzee.
 
Back
Top Bottom