Je Kuna Tofauti yoyote ile kati ya hawa Mbwa 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Kuna Tofauti yoyote ile kati ya hawa Mbwa 2

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jun 29, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Unaweza Kutofautisha kati ya hawa Mbwa 2 je wote ni mmoja au wapo tofauti? Boflo........... Mbuzi Mzee?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. H

  Henry Philip Senior Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 29, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Ndiye huyo huyo kwa kushoto wakati akiwa bwana mdogo tu, kwa kulia ni wakati ameshakuwa kidume cha mbegu, anaonekana yuko tayari kwa kazi pevu usipime....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Ni Kweli uepatia sana mkuu Henry Philip Hongera nakupa Mshindi kwa leo ni weweeeeeeeeeeeeeee
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  tofauti ipo kubwasana mbwa mbwa ni yule yule ila vipindi alivyopiga ni tofauti so wewe ukiulizwa kunatofauti ukiwa kijana na leo hii mzee tusemeje?
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  hahahahah sawa mwalimu wangu umesema kweli Tofauti ya hawa Mbwa ile ya upande wa kushoto alivyokuwa bado mdogo na ile ya upande wa kulia ndivyo alivyo hivi sasa Mkuu gfsonwin Upo pamoja na mimi Mwalim?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. H

  Henry Philip Senior Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 29, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Maswali mazuri sana hasa kwa watoto, lakini kwa watoto wa siku hizi na malezi wanayopata duh ni kazi sana. Asante pia mkuu, endelea kuleta chemsha bongo huku jamvini ndugu, ni moja ya mada nizipendazo sana.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Mkubwa ndevu

  Mkubwa ndevu JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  mbwa wa dada zetu wakiolewa na muzungu hahaha
   
 9. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Wapo tofauti huyo wa kushoto kapigwa picha juu ya meza na wakulia yupo chini kwenye tailiz na ana macho makali.(hata elimu ya siku hizi ni dhaifu)
   
 10. H

  Hussein Njovu Senior Member

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 25, 2006
  Messages: 186
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ila naona kama wote wamekasirika!
   
Loading...