Je kuna tofauti ya joto la mwili kati ya mtoto mchanga na mtu mzima? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kuna tofauti ya joto la mwili kati ya mtoto mchanga na mtu mzima?

Discussion in 'JF Doctor' started by akohi, Sep 14, 2012.

 1. akohi

  akohi JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 757
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Naamini hakuna ila cha kushangaza ni pale wakati wa joto kali, mzazi analala bila nguo ila mwanae gubi gubi (kavishwa nguo nzito na blanket juu)

  Inakuwaje hapo?
   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hivi wewe akohi.....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 15,231
  Likes Received: 5,395
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha ha BAGAH naona leo umeamua kula sahani moja na akohi!!!!!
   
Loading...