COARTEM
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 3,598
- 3,644
Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo haijachanja raia wake chanjo ya covid-19 mpaka sasa.
Nchi nyingi duniani zimechanja raia wake chanjo ya covid-19.
SWALI:
Je, kimadhara na faida, kuna tofauti gani kati ya Tanzania na hizo nchi zilizochanja watu wake?
Je, Tanzania watu wamekufa sana na covid-19 kuliko India, Africa kusini, Italia e.t.c?
Je, kiuchumi Tanzania imeathirika kwa kiwango gani?
Labda tujilinganishe na Kenya au Uganda...nani ameathirika na janga la covid-19 ukilinganisha na Tanzania?
Karibuni kwa mawazo ya kuunga mkono au kupinga hii mada kwa ushahidi dhahiri.