Je, kuna tofauti gani kati albino na mzungu?

Alibino ni mlemavu wa ngozi aliyekosa melanin ( colour pigments) kwenye ngozi yake ila mzungu hata ukosefu was melanin,,,
hii ipo hata kwenye mimea kuna kitu kinaitwa chlorophyll ambayo ni green pigment,,, kwa sababu chlorophyll ni green pigment haina maana kwamba mmea ambao sio wa kijan umekosa chlorophyll,,, So sio wazungu wote ni albino japo pia wapo wazungu albino kama Kelvin de bruyn wa man city
 
Mtu yeyote mwenye ngozi nyrupe anaupungufu wa melanini.Wazungu na zeruzeru wote wsnapungukiwa melanini Ndio maana wote si rafiki wa jua.
 
albino ngozi yake haina rangi, hata wazungu wana albino. ila mzungu wa kawaida ngozi yake ina rangi nae ni kwamba ni mweupe ila nao licha ya weupe akiwa albino utamtambua tu.
Mbona hujataja tofauti yoyote ile, unaposema weupe hawana rangi ndio unamaanisha nini? Wote mi naona ni 'weupe' na hawana 'rangi'.
 
Alibino ni mlemavu wa ngozi aliyekosa melanin ( colour pigments) kwenye ngozi yake ila mzungu hata ukosefu was melanin,,,
hii ipo hata kwenye mimea kuna kitu kinaitwa chlorophyll ambayo ni green pigment,,, kwa sababu chlorophyll ni green pigment haina maana kwamba mmea ambao sio wa kijan umekosa chlorophyll,,, So sio wazungu wote ni albino japo pia wapo wazungu albino kama Kelvin de bruyn wa man city
Kwahiyo wazungu wana melanin? Melanin ina rangi gani?
 
Wote wana upungufu wa melanin pignent, ila Albino kazidi
Albino ana nywele za kipilipili, mzungu ana curly

Tofauti nyingine ni Albino anaishi maisha mabovu na kuwindwa kama swala, mzungu anaishi maisha ya juu hadi anawatumia alichosaza

Tofauti nyingine tena ni, Albino huwa analalamika kubaguliwa na mtu mweusi, ila kwa mzungu, mtu mweusi ndiye hulalamika anabaguliwa

Nadhani hakuna swali tena
 
Mtu yeyote mwenye ngozi nyrupe anaupungufu wa melanini.Wazungu na zeruzeru wote wsnapungukiwa melanini Ndio maana wote si rafiki wa jua.
mzungu anaupungufu wa melanin lakin alibino ana kosa melanin elewa tofauti ya deficiency of melanin na lack of melanin
 
HA
Sawa, nini tofauti yao?
KUNA TOFAUTI kati ya huo ukosefu wa pigment zitengenezazo rangi katika kiumbe yeyote awe binadamu au ndege na mimea
1117922

Albinism is the "congenital absence of any pigmentation or coloration in a person, animal or plant, resulting in white hair, feathers, scales and skin and pink eyes in mammals, birds, reptiles, amphibians and fish and other small invertebrates as well."Wikipedia https://en.wikipedia.org/wiki/Albinism
 
Wote wana upungufu wa melanin pignent, ila Albino kazidi
Albino ana nywele za kipilipili, mzungu ana curly

Tofauti nyingine ni Albino anaishi maisha mabovu na kuwindwa kama swala, mzungu anaishi maisha ya juu hadi anawatumia alichosaza

Tofauti nyingine tena ni, Albino huwa analalamika kubaguliwa na mtu mweusi, ila kwa mzungu, mtu mweusi ndiye hulalamika anabaguliwa

Nadhani hakuna swali tena
Je, hao wanaoitwa albino wa kizungu ndio wapi hao?
 
HA

KUNA TOFAUTI kati ya huo ukosefu wa pigment zitengenezazo rangi katika kiumbe yeyote awe binadamu au ndege na mimea
View attachment 1117922
Albinism is the "congenital absence of any pigmentation or coloration in a person, animal or plant, resulting in white hair, feathers, scales and skin and pink eyes in mammals, birds, reptiles, amphibians and fish and other small invertebrates as well."Wikipedia https://en.wikipedia.org/wiki/Albinism
Kwahiyo wazungu ni maAlbino?
 
Back
Top Bottom