Je? Kuna tabia zozote mpya huwa zinakuja au kuanza mara baada ya mke kujifungua? Funguka na ilikuwaje

xivii09

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
251
225
Wadau nisiwachoshe hiki kisa cha kweli Mimi na mke wangu tumeanza kuishi pamoja baada ya kufunga ndoa takribani miezi kama sita iliyopita ila alikuwa mjazito kwa hiyo alijifungua miezi minne iliyo pita kwa hiyo game zote zilisimamama kwa sababu ya mtoto.

Sasa kisa ni kuwa mwenzangu kawa mtu kisilani mm sikujua ni nn kwa week nzima nikawa natafakari amekuwaje huyu mtu au mawazo yakaenda mbali sana au dogo siyo wangu nn.

Leo nimepiga game naona mtu kachangamka na kuwa mpole na msikivu je wanajamvi kuna mtu ashawai kukitana na wanawake wa aina hii baada ya kijifungua

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom