Je, kuna taasisi za kifedha ambazo zinatoa mikopo ya kuanzisha biashara ya kilimo au ufugaji kwa dhamana ya nyumba?

J33

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
1,552
1,505
Wakuu naomba kuuliza kama zipo kampuni za kifedha hapa Tanzania hasa Dar au Pwani ambazo zinaweza kupokea wazo la kibiashara name kutoa mkopo kwa dhamana ya nyumba ya kibiashara au ya familia.

Binafsi nina nyumba mbili ya kuishi na ya wapangaji. Nataka kutumia nyumba moja kupata mtaji wa kutekeleza wazo nililonalo la kufanya ufugaj wa Ngombe wa Maziwa.
 
Je hizo nyumba zina title deed (hati)
Mkopeshaji yeyote atahitaji njia isiyotiliwa mashaka jinsi utakavyorudisha mkopo
Tembelea tawi lolote la nmb
 
NCBA bank..hii ni bank mpya kdg nazani...ukiwasikiliza wasafi fm asubuhi huwa wanaizungumzia ishu km ya kwako, kama una wazo la.biashara unafika kwao unawaeleza thn watakupa utaratibu wakikubaliana na wazo lako. Kauli mbiu yao ni "the bank that says go for it" "bank inayokuhamasisha kusonga mbele"
 
  • Thanks
Reactions: J33
Back
Top Bottom