Je, kuna somo ambalo hutakuja kulisahau kwa jinsi lilivyokutoa jasho?

Asee mkuu hiyo ni open book exam au closed?
Ni closed mkuu. Na hapo unakua umepewa kama dakika 15 za kulizoea hilo pepa... usome maswali ulizoee. Hii pepa ile ukiambiwa "start" na hujapitia maswali kabla ... unaweza kuzimia kwa presha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 maana its full of surprises
 
Ni closed mkuu. Na hapo unakua umepewa kama dakika 15 za kulizoea hilo pepa... usome maswali ulizoee. Hii pepa ile ukiambiwa "start" na hujapitia maswali kabla ... unaweza kuzimia kwa presha maana its full of surprises
Duuuuuh hatar.....
 
Imagine huyu unatakiwa kumuandaa ili nguo zivalike na umtengeneze sura/ uso kwa ajili ya kuagwa na ndugu zake hasa kama ni mkristo
Ifike kipindi huu utamaduni wa kuaga uwe na mipaka kwa ajili ya privacy ya wendazao
 
Cheka Tu mkuu Ila nilipitia kipindi kigumu Sana, hapana nishamaliza chuo na niliichomoa Ila kwa mbinde Sana
Mimi kuna somo lilikuwa lina lecturer msengee. Yaani kwanza kufundisha hajui, halafu akimaliza pindi anauliza mwenye swali.

Ukijitokeza kuuliza anaku-crash.

Basi kuna siku tumegonga paper lake, nikapata 19 ( kiukweli wakifaulu watu hata 5 hawafiki kati ya wanafunzi 66 ).

Nikawa nina hofu ya Supp.

Bahati nzuri, alijichanganya kumbe hakurekodi maksi, akampa CR hiyo kazi ya kurekodi maksi🤣

Nilichofanya, nikachana ile paper ya juu, yenye maksi 19%, nikatumia kalamu nyekundu nikajiandikia 69% nikapeleka kwa CR🤣🤣
 
Uchambuzi wa vitabu (Lugha) hususani kile kitabu cha "Ngoswe penzi kitovu cha uzembe". Loh! Ulinishinda kabisa.
O-level Kwa mimi mambo ya vitabu vya mashairi.... Kujibu maswali ya ushairi ilikuwa shida sana sijui kuchambua fani ilikuwa balaa kwangu.

Mwanzoni tulivyosoma vitabu vya Tamthilia kama Ngoswe wala haikuwa shida shida ilianza katika mashairi nikaacha hata kuingia katika kipindi maana nilikuwa nashangaa tu sielewi
 
Mimi kuna somo lilikuwa lina lecturer msengee. Yaani kwanza kufundisha hajui, halafu akimaliza pindi anauliza mwenye swali.

Ukijitokeza kuuliza anaku-crash.

Basi kuna siku tumegonga paper lake, nikapata 19 ( kiukweli wakifaulu watu hata 5 hawafiki kati ya wanafunzi 66 ).

Nikawa nina hofu ya Supp.

Bahati nzuri, alijichanganya kumbe hakurekodi maksi, akampa CR hiyo kazi ya kurekodi maksi🤣

Nilichofanya, nikachana ile paper ya juu, yenye maksi 19%, nikatumia kalamu nyekundu nikajiandikia 69% nikapeleka kwa CR🤣🤣
ulitisha sana mkuu.
 
Hahaa organic chemistry, sijui ile kitu ilikua na nini kwangu, haikuwahi kupanda kichwani aloo
Wee ya chuo ilinitoa jasho organic1 mwaka wa kwanza na organic 2 yaani pamoja na ubabe wangu wa organic advance ila hapa nilikaaa, wengi walidisco sababu ya organic chem aseee baada ya kumaliza chuo nilikuwa nikiona majengo nasisimka
 
Back
Top Bottom