Emery Paper
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 1,429
- 2,713
Habari za wakati huu wanajukwaa!
Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni hivi, katika siku za karibuni nimekuwa nikishuhudia ongezeko la idadi ya watoto mapacha kuzaliwa na hili ni kwa watu nnaowafahamu ndio wamehusika katika uumbaji huu.
Swali langu la msingi ambalo nataka kupata ufafanuzi kutoka kwenu madaktari na wataalamu wa afya, je ni kwamba kuna njia zinatumika kitaalamu ukiachana na hizo za kupandikiza sijui maabara au mapacha wanatokea tu naturally kama bahati ?