Je kuna njia nyingine ya upimaji wa Tezi dume?

mputa

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
1,192
1,491
Napenda tu kujua, hivi zaidi ya ule utaratibu wa kupitisha kidole sehemu ya haja kubwa ambao wanaume wengi huwa hatuupendi na kuona kama ni fedheha, kuna njia nyingine ambayo hutumika katika kuugundua huu ugonjwa?

Nachelea kusema hivi kwa kuwa hakika huu ugonjwa ni hatari sana hasa pale inapogundulika kuwa umechelewa kujua kama una hilo tatizo.

Nategemea kupata majibu kutok kwenu.
 
Mimi siku ya kwanza nilisikia juu ya upimaji kiukweli kwa hiyo njia ya kupeleka kidole kule mahali aisee nilistuka kweli nikawaza unaweza Kuta watu wengi hawaendi kupima kwa ajili ya hiyo njia wanayotumia.... Naomba Mungu kuwe na njia nyingine ya upimaji tu...
 
hizi zinahusika:-
images
upload_2016-11-14_13-8-59.jpeg

images
 
Kiukwel kwenye upimaji hapo ni shda na fedheha, watafte njia nyngn ya upimaji maana hyo ya kupgwa kidole hapana aisee,mpaka nizidiwe na dalili zioneshe ni huo ugonjwa!
 
Digital Rectal Examination: actually ni kipimo kizuri sana maana kinakuwezesha almost kwa asilimia 70% kugundua kuwa mgonjwa ana BPH au Prostate Ca....kwahiyo mvumilie tu.
 
Back
Top Bottom