ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,543
Mo dewji
Ndiyo tena mwalimu wangu enzi hizo akiwa VSODooh,i ddnt know this,kumbe mabala ni m british
SATO alikuwa baloziHebu tuhoji hapa, wengi wetu tuna majina ya Peter, Anna, John, Hamad, Ashura, Hassan nk. Haya ni majina ya kigeni na tumeyatupilia mbali majina yetu mazuri ya Urio, Nyangeta, Ndikumana, Chacha, Bhoke, Masawe, Kabwe nk.
Je, hawa wageni waliotuletea hizo tamaduni zao na kuziona zetu za kishamba wana majina Kama ya asili yetu?
Wazazi vijana tunakwama wapi kuwapa majina asilia watoto tunaowazaa?
Tunahitaji nini walau hili la majina tujikomboe?
Sawa mkuu.Hapana Nsia Machame ndio wanaita Nsia................. Sia ni Wamarangu (Furaha)
Malaika Mkuu Gabrieli (mjumbe wa Mungu); Malaika Mkuu Mikaeli (nani aliye kama Mungu?); Malaika Mkuu Raphael (Mungu ni kinga yangu)! Mengine ni majina ya malaika na sio ya kizungu tu Mkuu. Kwani hata Emmanuel si limetajwa - Mungu pamoja nasi?
Mkuu... naunga mkono hoja. Mfano mwingine ni Gurisha Liko Bongo, Ásia... Rwanda...Jina la Sia lipo kwa wazungu pia. Kuna majina ni kama coincidence yapo kwa waafrika na wazungu pia. Mfano jina la Tatu wafinland Tatu ni jina la mwanaume kama sijakosea. Hii kwa mujibu wa mfin mwenyewe.