Je, kuna mzungu au mwarabu ana jina la kiafrika?

Bibi angu mbona unanitusi? Ndivyo Mtume alivyokufunza?
Sijakutusi wala kukuhutu.

Nimekueleza tu kuwa hata hizi herufi unazotumia ni za kigeni. Achana nazo.

Ukishindwa basi ni punguani wa uhakika kabisa.

Baniani mbaya kiatu chake dawa?
 
Mzungu kicha,nazani hili jina la kienyeji kabisa
Huyo Jamaa ana jina lake halisi, mzungu kichaa ni jina lake lake la kisanii katika muziki wa bongo fleva, ni mzungu anayejua kiswahili ila ana jina lake la kizungu
 
Mi mtoto wangu was Kwanza I made mistakes nilimuita Arvin,ila baada ya kuwajua wazuñgu vzur, mtoto wangu wa pili anaitwa OSAGIEFO!Wenzie now wanamuita Osagi!😎😎😎
 
Hebu tuhoji hapa, wengi wetu tuna majina ya Peter, Anna, John, Hamad, Ashura, Hassan nk. Haya ni majina ya kigeni na tumeyatupilia mbali majina yetu mazuri ya Urio, Nyangeta, Ndikumana, Chacha, Bhoke, Masawe, Kabwe nk.

Je, hawa wageni waliotuletea hizo tamaduni zao na kuziona zetu za kishamba wana majina Kama ya asili yetu?

Wazazi vijana tunakwama wapi kuwapa majina asilia watoto tunaowazaa?

Tunahitaji nini walau hili la majina tujikomboe?

Wapo wengi tu; kuna mama mmoja nesi wa kizungu alipojifungua mwanae akampa jina la mwanangu, ambalo ni kimatumbi. Kuna jamaa kazini kwetu anaitwa Ochoa (hilo ni jina ama la kinigeria au la kijaluo), kuna mmoja anaitwa Shayo, nadhani hilo ni jina la kichagga, kuna mwingine anaitwa Makele ambalo ni jina la kimatumbi pia ingawa huliandika zaidi kama MacLee.
 
Hili nalo unashupaa Faiza ?!. Hii east Africa waarabu wamekuja kama wazungu walivyokuja. Rudi kwenye hoja Je haya majina ni ya kwetu ?!. Na kwanini tumeyatosa ya kwetu ?!. Kwanini huwezi kusilimu ukiwa Onyango, Marwa, Mughwai nk nk ?! Mpaka ulazimike kuitwa majina usiyo na asili nayo !!

Ni upumbavu uliopitiliza, yani mtu asilimu halaf aitwe onyango,marwa,Tata, mughwai sijui mwendawazimu! Wakati kuna majina ya kiarabu/kiislamu mazuri kuliko majina yote duniani!

Ukisilimu ndio utaona umuhimu na uzuri wa majina ya kiarabu/kiislamu.
 
Si kweli. Soma kuhusu algorithms. Bila algorithms hauna kompyuta wala simu hizi za leo.

Soma ujionee ni na nani mvumbuzi wa algorithms.

Sijuwi huwa mnakurupuka vipi kwa mamvo msiyoyaelewa na kujifanya mna majibi ya kila kitu bila kuweka "citations". Mambo mengine siyo ya kukurupuka.

Soma hiyoooo...

Usitake kujifanya mjuaji sana. Unataka kupotosha watu hapa. Unachotaka kusema naomba unioneshe kinuhusiano gani na computer language au coding?
 
Hebu tuhoji hapa, wengi wetu tuna majina ya Peter, Anna, John, Hamad, Ashura, Hassan nk. Haya ni majina ya kigeni na tumeyatupilia mbali majina yetu mazuri ya Urio, Nyangeta, Ndikumana, Chacha, Bhoke, Masawe, Kabwe nk.

Je, hawa wageni waliotuletea hizo tamaduni zao na kuziona zetu za kishamba wana majina Kama ya asili yetu?

Wazazi vijana tunakwama wapi kuwapa majina asilia watoto tunaowazaa?

Tunahitaji nini walau hili la majina tujikomboe?

Paulo dybala
Kezman mateja
Burrucchaga huyu sijui alizaa na mama wa kichaga!
 
Ni upumbavu uliopitiliza, yani mtu asilimu halaf aitwe onyango,marwa,Tata, mughwai sijui mwendawazimu! Wakati kuna majina ya kiarabu/kiislamu mazuri kuliko majina yote duniani!

Ukisilimu ndio utaona umuhimu na uzuri wa majina ya kiarabu/kiislamu.
Ahahahaaaa . Ndiyo mkubali kuwa wa Africa tumekuwa watumwa wa fikra. Kwanini majina ya ki Arabu yawe mazuri kuliko ya ki jaluo ?!. Uzuri wa uarabu ni upi kuliko ule usukuma ?!.

Hawa watu waliwatawala pia wahindi lakini wahindi wamebaki na culture yao. Hivyo hivyo wa Japan , Korean etc. Lakini mwaAfrica kwa sababu ya umasikini wake ameacha kila kitu cha asili yake kwa kuambiwa ni umizimu. Kwamba hata majina ya babu zetu ni za mizimu
 
M
Hebu tuhoji hapa, wengi wetu tuna majina ya Peter, Anna, John, Hamad, Ashura, Hassan nk. Haya ni majina ya kigeni na tumeyatupilia mbali majina yetu mazuri ya Urio, Nyangeta, Ndikumana, Chacha, Bhoke, Masawe, Kabwe nk.

Je, hawa wageni waliotuletea hizo tamaduni zao na kuziona zetu za kishamba wana majina Kama ya asili yetu?

Wazazi vijana tunakwama wapi kuwapa majina asilia watoto tunaowazaa?

Tunahitaji nini walau hili la majina tujikomboe?
Miaka 10-20 tutegemee majina ya kichina,nao wanakuja kwa kasi.Ukiwa na pesa kika kitu kinawezekana.Wachina wanamkakati mkali wa kutawala.
 
Uzuri
Ahahahaaaa . Ndiyo mkubali kuwa wa Africa tumekuwa watumwa wa fikra. Kwanini majina ya ki Arabu yawe mazuri kuliko ya ki jaluo ?!. Uzuri wa uarabu ni upi kuliko ule usukuma ?!.

Hawa watu waliwatawala pia wahindi lakini wahindi wamebaki na culture yao. Hivyo hivyo wa Japan , Korean etc. Lakini mwaAfrica kwa sababu ya umasikini wake ameacha kila kitu cha asili yake kwa kuambiwa ni umizimu. Kwamba hata majina ya babu zetu ni za mizimu
Uzuri was hayo majina ni nini? Na ubaya wa Onyango ni nini? Mtu akisha kariri dini akili hupungua,uwezo wa kufikiri hupungua,uwezo wa kutafakari hupungua nk.Waislamu humanishwa mambo tu bila kuhoji,hata ukihoji hutapata jibu maana alieleta ashajifia miaka mingi.
 
Real hii inaudhi. Na brain zetu zikakubali tu kirahisi! Wahindi, Wachina au wakorea hutasikia huu upuuzi wa kutupa majina Yao kando
 
Uzuri

Uzuri was hayo majina ni nini? Na ubaya wa Onyango ni nini? Mtu akisha kariri dini akili hupungua,uwezo wa kufikiri hupungua,uwezo wa kutafakari hupungua nk.Waislamu humanishwa mambo tu bila kuhoji,hata ukihoji hutapata jibu maana alieleta ashajifia miaka mingi.

Mimi muislamu na majina ya kiarabu/kiislamu yamejaa tele tena mazuri na yenye maana nzuri kuliko majina yoyote unayoyajua, iweje nimpe mtoto wangu majina ya kipumbavu yasiyokuwa na maana yoyote na hayapo katika uislamu. Poa Mubakinayo ninyi tu sisi tuachieni Majina yetu mazuri yasiyokuwa na mfano wake.

Ummayed
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom