michibo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,213
- 3,655
Kama hujuwi ni tatizo lako si langu.Sijuwi — sijui
Wewe huna zaidi ni mbaguzi wa kijinga tu.Nishaona jina la kigeni kwenye hiyo link, kumbe ni wale wale tu!
Huyo Ngugi ni mkenya, Nigeria kuna kina Nwankwo, Nwoye, Ekemefuna!
katika mambo ya kijinga duniani, mojawapo ni hili la kuamini hizi dini zilizoletwa na waarabu na wazungu kwenye majahazi, baada ya kutufanya watumwa muda mrefuTatizo ndo waliotuletea habari za Mungu tunayemwamini, Ujinga wetu ni kuwa na majina hayo lakini hatujui maana zake.
Lakini pia haya majina ya asili ukitafsiri utakuta inamaana inayoendana na maana ya haya majina ya kisasa
Hebu tuhoji hapa, wengi wetu tuna majina ya Peter, Anna, John, Hamad, Ashura, Hassan nk. Haya ni majina ya kigeni na tumeyatupilia mbali majina yetu mazuri ya Urio, Nyangeta, Ndikumana, Chacha, Bhoke, Masawe, Kabwe nk.
Je, hawa wageni waliotuletea hizo tamaduni zao na kuziona zetu za kishamba wana majina Kama ya asili yetu?
Wazazi vijana tunakwama wapi kuwapa majina asilia watoto tunaowazaa?
Tunahitaji nini walau hili la majina tujikomboe?
Catholic ni dini ya watu gani? What about Anglican, Lutheran nk? Yote haya ya wazungu na ndio waliotuletea huu utaratibu wa kubatiza majina ya kigeni
Hatua hiyo hata wazungu walipitia umasikini na ujima. Haihakalishi wewe kutupa kila kilicho chako ikiwemo majinaAta simu unayotumia hapa ni technologia ya wazungu. Nguo ulizovaa ni tamaduni ya wazungu. Nenda ukavar magome ya miti
Kwanza tubadilishe jina la Afrika, Africa, Afrique halitokani na lugha zetu za asili ni jina la kuletwa na hao wageni.Hebu tuhoji hapa, wengi wetu tuna majina ya Peter, Anna, John, Hamad, Ashura, Hassan nk. Haya ni majina ya kigeni na tumeyatupilia mbali majina yetu mazuri ya Urio, Nyangeta, Ndikumana, Chacha, Bhoke, Masawe, Kabwe nk.
Je, hawa wageni waliotuletea hizo tamaduni zao na kuziona zetu za kishamba wana majina Kama ya asili yetu?
Wazazi vijana tunakwama wapi kuwapa majina asilia watoto tunaowazaa?
Tunahitaji nini walau hili la majina tujikomboe?
Hili nalo unashupaa Faiza ?!. Hii east Africa waarabu wamekuja kama wazungu walivyokuja. Rudi kwenye hoja Je haya majina ni ya kwetu ?!. Na kwanini tumeyatosa ya kwetu ?!. Kwanini huwezi kusilimu ukiwa Onyango, Marwa, Mughwai nk nk ?! Mpaka ulazimike kuitwa majina usiyo na asili nayo !!Nani alikudanganya kuwa Waarabu ni wageni Afrika?
Mitaala ya kurithi wazungu imewajaza sana ujinga.
Hakika hizi shule za kufundisha uhinga zimewajaza sana ujinga.
Hebu jisomee watafiti ambao hawajakusomesha ujinga wanasemaje...
Shinyanga yupo Mwarabu, anaitwa NCHAMBI!Yupo Njambi waulize Wakenya wanamjua teh
Ikiwa ni hivyo basi Wabantu walikuja East Africa. Walipokuja mwenyeji alikuwa nani? Usikute Mchina!Hili nalo unashupaa Faiza ?!. Hii east Africa waarabu wamekuja kama wazungu walivyokuja. Rudi kwenye hoja Je haya majina ni ya kwetu ?!. Na kwanini tumeyatosa ya kwetu ?!. Kwanini huwezi kusilimu ukiwa Onyango, Marwa, Mughwai nk nk ?! Mpaka ulazimike kuitwa majina usiyo na asili nayo !!
Msikitini Nako Huwapeleki?Thubutu. Sisi ndo tunajiona wastaarabu kubeba majina yao huku tukiaminishwa eti majina ya mababu zetu hayana baraka ila majina ya wazungu walokufa miaka na mikaka ndo yenye baraka kwetu.
Mimi nimeamua watoto wangu wote wanapew majina ya kiafrika na siwapeleki kanisani hata iweje maana huko ndiko wanapooshwa akili.