Je, kuna mzungu au mwarabu ana jina la kiafrika?

Tatizo ndo waliotuletea habari za Mungu tunayemwamini, Ujinga wetu ni kuwa na majina hayo lakini hatujui maana zake.
Lakini pia haya majina ya asili ukitafsiri utakuta inamaana inayoendana na maana ya haya majina ya kisasa
katika mambo ya kijinga duniani, mojawapo ni hili la kuamini hizi dini zilizoletwa na waarabu na wazungu kwenye majahazi, baada ya kutufanya watumwa muda mrefu
 
Karoli lwanga shahidi wa Uganda, kama sikosei papa John Paul mwenye heri jina lake ni Karoli
 
Hebu tuhoji hapa, wengi wetu tuna majina ya Peter, Anna, John, Hamad, Ashura, Hassan nk. Haya ni majina ya kigeni na tumeyatupilia mbali majina yetu mazuri ya Urio, Nyangeta, Ndikumana, Chacha, Bhoke, Masawe, Kabwe nk.

Je, hawa wageni waliotuletea hizo tamaduni zao na kuziona zetu za kishamba wana majina Kama ya asili yetu?

Wazazi vijana tunakwama wapi kuwapa majina asilia watoto tunaowazaa?

Tunahitaji nini walau hili la majina tujikomboe?

Uku kwetu kuna mzungu anaitwa Saitoti
 
Catholic ni dini ya watu gani? What about Anglican, Lutheran nk? Yote haya ya wazungu na ndio waliotuletea huu utaratibu wa kubatiza majina ya kigeni

Basi mkuu kwakua uelewi nini maana ya mapokeo ngoja nikuache tusibishe
 
Hebu tuhoji hapa, wengi wetu tuna majina ya Peter, Anna, John, Hamad, Ashura, Hassan nk. Haya ni majina ya kigeni na tumeyatupilia mbali majina yetu mazuri ya Urio, Nyangeta, Ndikumana, Chacha, Bhoke, Masawe, Kabwe nk.

Je, hawa wageni waliotuletea hizo tamaduni zao na kuziona zetu za kishamba wana majina Kama ya asili yetu?

Wazazi vijana tunakwama wapi kuwapa majina asilia watoto tunaowazaa?

Tunahitaji nini walau hili la majina tujikomboe?
Kwanza tubadilishe jina la Afrika, Africa, Afrique halitokani na lugha zetu za asili ni jina la kuletwa na hao wageni.
 
Nani alikudanganya kuwa Waarabu ni wageni Afrika?

Mitaala ya kurithi wazungu imewajaza sana ujinga.

Hakika hizi shule za kufundisha uhinga zimewajaza sana ujinga.

Hebu jisomee watafiti ambao hawajakusomesha ujinga wanasemaje...

Hili nalo unashupaa Faiza ?!. Hii east Africa waarabu wamekuja kama wazungu walivyokuja. Rudi kwenye hoja Je haya majina ni ya kwetu ?!. Na kwanini tumeyatosa ya kwetu ?!. Kwanini huwezi kusilimu ukiwa Onyango, Marwa, Mughwai nk nk ?! Mpaka ulazimike kuitwa majina usiyo na asili nayo !!
 
Ikiwa ni hivyo basi Wabantu walikuja East Africa. Walipokuja mwenyeji alikuwa nani? Usikute Mchina!

Ushahidi wa Wabantu kuja East Africa huu hapa...

The Niger-Congo hypothesis developed by Joseph Greenberg on Bantu languages state that the Bantu originated in West Africa, the Cameroon, and migrated across the the Congo basin into Southern and East Africa.Jun 30, 2008
1565792849029.png

www.kaa-umati.co.uk › Bantu in An...
The Bantu in Ancient Egypt - the The Kiswahili-Bantu Research Unit
 
Thubutu. Sisi ndo tunajiona wastaarabu kubeba majina yao huku tukiaminishwa eti majina ya mababu zetu hayana baraka ila majina ya wazungu walokufa miaka na mikaka ndo yenye baraka kwetu.
Mimi nimeamua watoto wangu wote wanapew majina ya kiafrika na siwapeleki kanisani hata iweje maana huko ndiko wanapooshwa akili.
Msikitini Nako Huwapeleki?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom