Kwani kuna ulazima gani wa kuwapa watoto majina ya asili ?Wazazi vijana tunakwama wapi kuwapa majina asilia watoto tunaowazaa
Kwani kuna ulazima gani wa kuwapa watoto majina ya asili ?Wazazi vijana tunakwama wapi kuwapa majina asilia watoto tunaowazaa
Malaika Mkuu Gabrieli (mjumbe wa Mungu); Malaika Mkuu Mikaeli (nani aliye kama Mungu?); Malaika Mkuu Raphael (Mungu ni kinga yangu)! Mengine ni majina ya malaika na sio ya kizungu tu Mkuu. Kwani hata Emmanuel si limetajwa - Mungu pamoja nasi?
Na yale yanayofanana na sehemu za Siri ya kijapani, yanafanana na majina ya kiswahiliKuna kitu muelewe watu. Kuna majina yanaingiliana. Mifano hasa majina ya wajapani na baadhi ya majina ya wazungu. Mfano jina la Maruri ni mavumbi kwa watu wa kabila la Warangi na waitaliano wana Maruri pia.
Hizi kitu zinatakiwa ziwe Pana na ziwafikie na wazungu nao wafananie walivyotubatiza sie!Kuna padri mmoja wa Kanisa Katoliki, amesomea mambo ya mila na utamaduni na utamadunisho (inculturation) na amefanya utafiti wake nchini Malawi tangu miaka ya 60 na anaongea Chichewa (fasaha) vizuri zaidi (nadhani) kuliko watu wengi wa Malawi na kwa sababu ya kuwa karibu na watu wa huko na kujua mila na utamaduni wao na lugha yao amepewa jina la Chichewa, Chisale. Anaitwa Padri Claude Boucher (French Canadian). Yuko Mua Mission (Dedza) na hapo ameanzisha kituo cha mila na utamaduni kinaitwa KuNgoni. Amekua authority kwa lugha ya Chichewa pamoja na mila na tamaduni za Wachewa, Wangoni na Wayao. Abambo Chisale ni Padri wa Shirika la Wamisionari wa Afrika (zamani waliitwa White Fathers).
Padri Chisale alianzisha kituo hiki cha utamaduni pengine kwa kuwa 'inspired' na Padri David Clement (ambaye pia alikuwa French Canadian) aliyeanzisha Kituo cha Mila na Utamaduni kule Mwanza kinachoitwa Bujora Cultural Centre. Padri Clement naye alikuwa shirika la Wamisionari wa Afrika (White Fathers). Naye aliitwa pia Padri Fumbuka.
Mkuu umelichunguza na jina lako?Jakaya Mrisho Kikwete.
Kwa hili jina atabarikiwa mpaka kaburini,sio mnazaa mitoto mnayaita kina Ciprian yanaleta tabu tu duniani.
TUNDU LISSU
Haya nyie mitoto yenu mkaipa majina ya livingstone ona li lusinde lilivojinga.
Leo unalipa toto jina Amber Lutty halafu unataka awe msomi una akili kweli?
Catholic ni dini ya watu gani? What about Anglican, Lutheran nk? Yote haya ya wazungu na ndio waliotuletea huu utaratibu wa kubatiza majina ya kigeniHayo sio majina ya kizungu na mzungu nae dini mapokeo tu sio dini yake wapo wazungu wanatumia majina ya kitaifa lao na wapo wanatumia majina ya kiafrica pia hata wao wanaiga mkuu fanya utafiti vizur taratibu mkuu kumbuka hilo mzungu dini sio yake mkuu
Nani alikudanganya kuwa Waarabu ni wageni Afrika?Hebu tuhoji hapa, wengi wetu tuna majina ya Peter, Anna, John, Hamad, Ashura, Hassan nk. Haya ni majina ya kigeni na tumeyatupilia mbali majina yetu mazuri ya Urio, Nyangeta, Ndikumana, Chacha, Bhoke, Masawe, Kabwe nk.
Je, hawa wageni waliotuletea hizo tamaduni zao na kuziona zetu za kishamba wana majina Kama ya asili yetu?
Wazazi vijana tunakwama wapi kuwapa majina asilia watoto tunaowazaa?
Tunahitaji nini walau hili la majina tujikomboe?
Dooh,i ddnt know this,kumbe mabala ni m britishRichard Mabala ni Mwingereza na huwa anaandika kwa jina la Makengeza.
Si kweli. Soma kuhusu algorithms. Bila algorithms hauna kompyuta wala simu hizi za leo.Ata simu unayotumia hapa ni technologia ya wazungu. Nguo ulizovaa ni tamaduni ya wazungu. Nenda ukavar magome ya miti
Nishaona jina la kigeni kwenye hiyo link, kumbe ni wale wale tu!Si kweli. Soma kuhusu algorithms. Bila algorithms hauna kompyuta wala simu hizi za leo.
Soma uhionee ni na nani mvumbuzi wa algorithms.
Sijuwi huwa mnakurupuka vipi kwa mamvo msiyoyaelewa na kujifanya mna majibi ya kila kitu bila kuweka "citations". Mambo mengine siyo ya kukurupuka.
Soma hiyoooo...
Al-Khwarizmi - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
We ni mpumbavu wa mwisho. Nani alikuambia hao wazungu ni WATAKATIFU??
Waafrika tuna balaa. Kidogo Nigeria na Congo wamejitahidi kufuta huu utumwa