Je, kuna mzungu au mwarabu ana jina la kiafrika?

Jakaya Mrisho Kikwete.
Kwa hili jina atabarikiwa mpaka kaburini,sio mnazaa mitoto mnayaita kina Ciprian yanaleta tabu tu duniani.
TUNDU LISSU
Haya nyie mitoto yenu mkaipa majina ya livingstone ona li lusinde lilivojinga.
Leo unalipa toto jina Amber Lutty halafu unataka awe msomi una akili kweli?
 
Technically speaking nchi za kiarabu afrika.. (yaani waarabu ambao ni waafrica), au unamaanisha wabantu ?
 
Kuna demu nilimpenda sana enzi zangu za barehe aliitwa "Nyakwesi" daaaah ni msumali hatariii
 
Kuna yule mcheza tennis wa Uhispania Garbine Muguruza. Hilo Muguruza ni majina ya Burundi sijui kalipata wapi.?
 
Na waliosema Yana maana ulizotaja ni hao hao wazungu!

Hayo sio majina ya kizungu na mzungu nae dini mapokeo tu sio dini yake wapo wazungu wanatumia majina ya kitaifa lao na wapo wanatumia majina ya kiafrica pia hata wao wanaiga mkuu fanya utafiti vizur taratibu mkuu kumbuka hilo mzungu dini sio yake mkuu
 
Mabala the Farmer unamfahamu au umewahi kumsikia ?

Huyu ni mzungu mwenye jina la kiafrika. Mwingine anaitwa mzungu kichaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom