Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Diversity duniani ni pana sanaHuyu atakua alislim akiwa huko Madina
Diversity duniani ni pana sanaHuyu atakua alislim akiwa huko Madina
Hahaa ...ndio mkuu wanaitwa MAGANGA (PETER, PIERRE=JIWE)
Yupo mwingine anaitwa Chimpumu, yupo mkuranga uko anakula mihogo hana habari na kwao.Yupo Bongozozo
Sia ni jina la kizungu... Weye majina mengi sana ya kike ya kiafrica ni ya kizungu hasa kwa wanaobatizwa Makanisani.....Sia nimewahi kuona mzungu ana hilo jina
Hayo majina yatafute asili kwanza yalikuwa ya kiebrania na hawayaandiki hivyo ulivyoandikaMalaika Mkuu Gabrieli (mjumbe wa Mungu); Malaika Mkuu Mikaeli (nani aliye kama Mungu?); Malaika Mkuu Raphael (Mungu ni kinga yangu)! Mengine ni majina ya malaika na sio ya kizungu tu Mkuu. Kwani hata Emmanuel si limetajwa - Mungu pamoja nasi?
We ni mpumbavu wa mwisho. Nani alikuambia hao wazungu ni WATAKATIFU??Majina ya asili yetu ya mababu wafu(mizimu), bali majina ya kizungu ambao pia ni wafu (watakatifu).... ukielewa tofauti kati ya mizimu na watakatifu utakuwa katika uelekeo wa kujikomboa.
Sia ni jina la kizungu... Weye majina mengi sana ya kike ya kiafrica ni ya kizungu hasa kwa wanaobatizwa Makanisani.....
Jina la Sia lipo kwa wazungu pia. Kuna majina ni kama coincidence yapo kwa waafrika na wazungu pia. Mfano jina la Tatu wafinland Tatu ni jina la mwanaume kama sijakosea. Hii kwa mujibu wa mfin mwenyewe.Unajua maana ya Sia wewe?hapo kwanza ni jina la kabila la wachaga hakuna uzungu hapo
mkuu majina yana tafsiri sawa kote duniani kwa makabila na jamii tofautiHahaa ...
Umewaza mbali sana.
JF kuna 'majiniasi'!
Kuna padri mmoja wa Kanisa Katoliki, amesomea mambo ya mila na utamaduni na utamadunisho (inculturation) na amefanya utafiti wake nchini Malawi tangu miaka ya 60 na anaongea Chichewa (fasaha) vizuri zaidi (nadhani) kuliko watu wengi wa Malawi na kwa sababu ya kuwa karibu na watu wa huko na kujua mila na utamaduni wao na lugha yao amepewa jina la Chichewa, Chisale. Anaitwa Padri Claude Boucher (French Canadian). Yuko Mua Mission (Dedza) na hapo ameanzisha kituo cha mila na utamaduni kinaitwa KuNgoni. Amekua authority kwa lugha ya Chichewa pamoja na mila na tamaduni za Wachewa, Wangoni na Wayao. Abambo Chisale ni Padri wa Shirika la Wamisionari wa Afrika (zamani waliitwa White Fathers).Hebu tuhoji hapa, wengi wetu tuna majina ya Peter, Anna, John, Hamad, Ashura, Hassan nk. Haya ni majina ya kigeni na tumeyatupilia mbali majina yetu mazuri ya Urio, Nyangeta, Ndikumana, Chacha, Bhoke, Masawe, Kabwe nk.
Je, hawa wageni waliotuletea hizo tamaduni zao na kuziona zetu za kishamba wana majina Kama ya asili yetu?
Wazazi vijana tunakwama wapi kuwapa majina asilia watoto tunaowazaa?
Tunahitaji nini walau hili la majina tujikomboe?
you made my dayMajina mengi hasa ya Kikristu yanatokana na Dini ambayo ililetwa na hao wazungu kwahiyo wengi tukibatizwa kanisani tunapewa yale majina ya dini husika iliyokuja na mzungu. haya mangine ya akini mwakitenkimwakilipuka hayaapo kwenye biblia.