Je, kuna mzungu au mwarabu ana jina la kiafrika?

Kumbukumbuyatorati

Kumbukumbuyatorati

Senior Member
Joined
Jul 27, 2018
Messages
103
Points
250
Kumbukumbuyatorati

Kumbukumbuyatorati

Senior Member
Joined Jul 27, 2018
103 250
Jakaya Mrisho Kikwete.
Kwa hili jina atabarikiwa mpaka kaburini,sio mnazaa mitoto mnayaita kina Ciprian yanaleta tabu tu duniani.
TUNDU LISSU
Haya nyie mitoto yenu mkaipa majina ya livingstone ona li lusinde lilivojinga.
Leo unalipa toto jina Amber Lutty halafu unataka awe msomi una akili kweli?
 
KeyserSoze

KeyserSoze

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
2,533
Points
2,000
KeyserSoze

KeyserSoze

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
2,533 2,000
Technically speaking nchi za kiarabu afrika.. (yaani waarabu ambao ni waafrica), au unamaanisha wabantu ?
 
hyperkid

hyperkid

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2019
Messages
276
Points
500
hyperkid

hyperkid

JF-Expert Member
Joined Jun 7, 2019
276 500
Mzungu kicha,nazani hili jina la kienyeji kabisa
 
G.Jacob

G.Jacob

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Messages
3,187
Points
2,000
G.Jacob

G.Jacob

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2013
3,187 2,000
Kuna demu nilimpenda sana enzi zangu za barehe aliitwa "Nyakwesi" daaaah ni msumali hatariii
 
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
2,372
Points
2,000
pancho boy

pancho boy

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2018
2,372 2,000
Eeh Bongo Zozo Si Mzungu Yulee?
 
Econometrician

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Messages
9,894
Points
2,000
Econometrician

Econometrician

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2013
9,894 2,000
Binafsi yangu watoto wangu nilipenda sana kuwaita majina ya kiafrika asili,kwa bahati mbaya mimi mwenyewe simjui baba yangu na hata ndugu yangu hata moja-hivyo nikawaita majina ya watu ninaowakubali hapa duniani
 
Cvez

Cvez

Senior Member
Joined
May 19, 2018
Messages
136
Points
250
Cvez

Cvez

Senior Member
Joined May 19, 2018
136 250
Kuna yule mcheza tennis wa Uhispania Garbine Muguruza. Hilo Muguruza ni majina ya Burundi sijui kalipata wapi.?
 
number41

number41

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
1,929
Points
2,000
number41

number41

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
1,929 2,000
Na waliosema Yana maana ulizotaja ni hao hao wazungu!
Hayo sio majina ya kizungu na mzungu nae dini mapokeo tu sio dini yake wapo wazungu wanatumia majina ya kitaifa lao na wapo wanatumia majina ya kiafrica pia hata wao wanaiga mkuu fanya utafiti vizur taratibu mkuu kumbuka hilo mzungu dini sio yake mkuu
 
komanyahenry

komanyahenry

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2017
Messages
537
Points
1,000
komanyahenry

komanyahenry

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2017
537 1,000
Richard Frank Satterthwaite Mabala
 
Waziri wa Kaskazini

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Messages
4,718
Points
2,000
Waziri wa Kaskazini

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2015
4,718 2,000
Unajua maana ya Sia wewe?hapo kwanza ni jina la kabila la wachaga hakuna uzungu hapo
Nakwambia hilo jina ni la kizungu mbona unakuwa mbishi?????? Cmoon men....

Sia Kate Isobelle Furler is an Australian singer, songwriter and music video director
 
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
11,291
Points
2,000
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
11,291 2,000
Majina ya asili yetu ya mababu wafu(mizimu), bali majina ya kizungu ambao pia ni wafu (watakatifu).... ukielewa tofauti kati ya mizimu na watakatifu utakuwa katika uelekeo wa kujikomboa.
Wewe ni mtumwa wa kila kitu !
 
ummtotomlito

ummtotomlito

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2014
Messages
435
Points
500
ummtotomlito

ummtotomlito

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2014
435 500
Pendo, Rehema, Baraka kuna wazungu nawafahamu wana haya Majina.
 
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Messages
14,723
Points
2,000
DiasporaJay

DiasporaJay

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2016
14,723 2,000
Mabala the Farmer unamfahamu au umewahi kumsikia ?

Huyu ni mzungu mwenye jina la kiafrika. Mwingine anaitwa mzungu kichaa.
 

Forum statistics

Threads 1,326,598
Members 509,543
Posts 32,227,795
Top