Je kuna mwanamke ambaye kwa dhati kabisa hataki kuolewa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kuna mwanamke ambaye kwa dhati kabisa hataki kuolewa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Aug 15, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Kuna dada nafahamiana naye vyema sana. Baada ya kuachana na mvulana wake akajiapiza kuwa hataki tena mahusiano na mwanaume yeyote na akajiingiza kwenye vitendo vya kiusagaji kiasi kwamba wazazi mtaani wakawa hataki mabinti wao wamkaribie kwa hofu ya kuharibiwa na dada huyo.
  Mungu mkubwa juzi jumamosi dada huyo kaolewa na kijana mzuri kabisa.
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Ni habari njema, Mungu aibariki ndoa yao...
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  kumbe usagaji unapona?
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wapo...ila kila amuzi lina sababu!!

  Mtu anaweza sema hatokaa aoe/olewe akiwa ana maanisha kabisa kwasababu tu aliona ndoa ya mtu mwingie ilivyosababishia wahusika karaha.Ila kwa kushuhudia nyingine zenye mwelekeo mzuri akabadili mawazo kwa kuamini kwamba sio kila mtu anakua na bahati mbaya ndoani.
   
 5. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  haaah haaah mkuu una maanisha nn hapa?
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Aug 15, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kila mtu na mtuwe na kwenye mapenzi hata bubu huongea!
   
 7. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Kujiapiza ni kubaya sana. Watu wakiwa na hasira huwa wanaapa; afu wakiona wanazeeka bila wenza wanashangaa kumbe walimake "a deal with the devil." wameshau the promise. Utasikia 'mi hawa wanaume hawa; siolewi natafuta maisha yangu mazuri na enjoy'. Kweli wale walio single wana maisha mazuri sana tu but it reaches a point in life wanaanza ku realize what they are missing.
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  wapo tena wengi mno....

  usisahau kuolewa au kuto olewa haimaanishi uwe single still

  wapo wasiopenda harusi but wanataka kuwa na wenza
   
 9. Z

  Zedikaya Senior Member

  #9
  Aug 15, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhan hakun mtu mweny msimam usiobadilik hata iweje kwa jambo lolot lile hasa lisilo la kuvunj sheria
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Aug 15, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Oprah Winfrey
   
 11. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Yah. wengine huishia "kuoa"
   
 12. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Watawa je?
   
 13. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Upendo ni noma bwana!!!!
   
 14. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  namashakaa msagajiii...msagwajiii,hawezi kuona laza ya mwanaume.labda huyo dada kaolewa kama kingaa ya macho ya watu ila akiwaa chobisi anakamua na wezake yani anaendeleza kuwa blendaaa anasaGAAA' urumaa kwa kijanaa na mashakaaa....usije kuta
   
 15. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #15
  Aug 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ingekuwa sio swala la uchumi,na hofu ya kuwa wapweke uzeeni hivyo kuhitaji watoto ndoa zingekuwa chache mno wengi wanaolewa wapate security financially pamoja na watoto,huo ndio ukweli wanaooana out of love kama wapo ni wachache sana!
   
 16. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  mbona mie sina mpango kabisaa! Out of the reasons, I hate mafungamano ya kindoa
   
Loading...