Je, kuna mwalimu aliyeajiriwa na serikali mwenye nyumba ya milioni 100?

Habari wakuu

Je kuna mwalimu Tanzania hi mwenye nyumba ya milioni 100 au zaidi? Nimeuliza tu wadau maana kila siku viongozi wanadai wameboresha maisha ya walimu kwa sasa.

Nasubiri majibu

Wapo wengi tuache ufinyu wa fikra nina ushahidi

Wa seri kali sidhani labda wa private

milioni 100 ni ndoto kwa watu hawa
Labda amemaanisha ambacho hajaandika,
Maana kuwa mwalimu haimaanishi kutoweza kukamata milioni 100, maana si walimu wote akili zao zimewekwa ndani ya boksi, kuna wengine wana mishemishe zao za kila nna, ila kama unaongelea source ya mjengo wa gharama hiyo itokane na ajira ya ualimu tu, itakuwa ngumu si tu kwa mwalimu hata waajiriwa wengine wa serikali pia,
Maana mtu mwenye mshahara say wa milioni mbili, hao vibosile, kama atakuwa analipwa mil 2 na ategemee tu mshahara basi nyumba ya milioni mia moja ataikamilisha baada ya si chini ya miaka 7, iwapo atawekeza milioni moja ya mshahara wake kila mwezi kwenye ujenzi huo,
 
Habari wakuu

Je kuna mwalimu Tanzania hi mwenye nyumba ya milioni 100 au zaidi? Nimeuliza tu wadau maana kila siku viongozi wanadai wameboresha maisha ya walimu kwa sasa.

Nasubiri majibu
Mawazo na swali la kipumbavu. Kwanini ufuatilie maisha ya mtu? Ili iweje ? Upumbavu mtupu. Wewe huenda ni Lichadema.
 
Habari wakuu

Je kuna mwalimu Tanzania hi mwenye nyumba ya milioni 100 au zaidi? Nimeuliza tu wadau maana kila siku viongozi wanadai wameboresha maisha ya walimu kwa sasa.

Nasubiri majibu

Walimu wa shule zipi na zenye hadhi gani?

Watakuja hapa wakuaumbie walimu wa International schools au walimu wa vyuo vikuu wanazo nyumba za bei hizo
 
Cha kushukuru huu utawala c wa mkwere maana kwa hii post jumatatu pangetangazwa maandamano nchi nzima na mabango yasemayo "SHEMEJI TUNADHALILISHWA MTOA POST AUNDIWE TUME" ni kweli ila hayatuhusu...
 
Back
Top Bottom