kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,703
- 20,606
na wewe umewafanyiaga kazi gani?Wahindi wanyonyaji sana hao. Wanapenda kufanyiwa kazi hawana kabisa shukrani.Hata lipa yao ni kiduchu.
na wewe umewafanyiaga kazi gani?Wahindi wanyonyaji sana hao. Wanapenda kufanyiwa kazi hawana kabisa shukrani.Hata lipa yao ni kiduchu.
muhundi gani umemuona anafanya kazi?Watanzania kiukweli kufikia walipo nchi za Ulaya ni ndoto... Yaani wao wahindi wangekuwa wanafanya kazi kimayai kama sisi wala usingekuta wapo hapo walipo kiuchumi.....
Wahindi, wazungu ukifanya nao kazi bado wanatuona tupo slow sana hata ufanye kazi hadi mwenyewe uone kweli umefanya kazi lakini kwao wanaona hakuna ulicho kifanya ni ukweli hakuna ulicho kifanya zaidi ya kijibaraguza tu....
Ukienda kwenye viwanda huko China ukaona jinsi mijamaa inavyo piga kazi, unaweza kudhani ni maroboti, mbwa wanapiga kazi si mchezo....
Kula watu hawawazi kusifiwa aisee wasingekuwa hapo walipo, nafanya kazi na ndugu zangu wabongo ni wavivu balaa kazi ni stori tu, kupigana majungu, kufitishana upumbafu mtupu.....
Kuna watu wanapiga kazi ofisi zao zipo karibu na nyumbani kwao lakini wanaweza kufika kwao hata siku tatu hawajafika kuiona familia.....
Ndiyo maana wazungu wana ndoa za mikataba sababu ya kazi, unakuta mtu anapiga kazi hadi anaisahau familia, mnajua tena wanawake wanataka baba awe karibu na familia akisha ona baba/mme wake yupo buys sana anatafuta chaka lingine... Jamani kuna watu wanapiga kazi acheni masihara....
India ilijengwa na waafrica?muhundi gani umemuona anafanya kazi?
una maneno mengi sana mzeeTatizo linaanzia kwako unataka kila mtu awaone Wahindi siyo wazuri... Fanya kazi ww dogo wacha kusubiri sifa za kindezi
Tena huwa wanawachonganisha nyie kwa nyie.
Unamsikia anamwambia mwenzako mchunge huyu choli kama iba sema ongeja sahara mimi.na mwenzio anaambiwa hivyo hivyo laana wakubwa hawa
Yaaani kaka kweli kabisa kabisaTena huwa wanawachonganisha nyie kwa nyie.
Unamsikia anamwambia mwenzako mchunge huyu choli kama iba sema ongeja sahara mimi.na mwenzio anaambiwa hivyo hivyo laana wakubwa hawa
Ni kweli kabisa, ngozi nyeusi tuna ulimbukeni wa kuonekana Bora mbele za watu wakati background zetu zipo matopeniMimi nilipewa na cheti kabisa cha kazi nzuri. Wahindi ni wabahili ila nimejifunza mengi.
Jamaa wana focus ya kuwekeza na familia/ukoo.
Sisi tuna focus kwenye bata na kuonekana upo vizuri.
Nakumbuka, muda wa lunch wakati sisi tunaenda kununua chakula, wahindi (mabosi) house girls wao wanapeana zamu wakuletea chakula ofisini. Leo analeta house girl wa huyu kesho wa yule.
Ni wabahili mpaka kwenye mavazi yao wenyewe wanayovaa, lakini wafuatilie utagundua wana nyumba canada, mara maduka ya madini, vifaa vya umeme na kadharika.
Sisi ni bata batani, ufahari wetu ni bar, kutoka kwa wazazi (kwenda kupanga yaani faster, ukipata kazi tu mipango inaanza) na kununua gari.
TUNAANZA KUONGEZA GHARAMA KABLA KUONGEZA KIPATO.
Siku tukifukuzwa kazi, tunalialia.
Ushauri wangu. Pamoja na ubahili na ubaguzi wao, tujifunze mambo mazuri wanayofanya.
Umeajiriwa dukani unatumwa mpaka nyumbani.Huko nyumbani isidhanie kuwa unatumwa vitu vya thamani ni kupewa taka ukatupe au kufyagia basi.tehteh
kama una hasira za karibu unaweza piga mtu,,,
kisa kutumwa tumwa
Habarini, nataka kubadilishane mawazo, visa na mikasa kuhusu hawa ndugu zetu WAHINDI
Nimefanya kazi kampuni ya wahindi miaka mitatu, sijawai kusifiwa wala kuambiwa kuwa nimekuwa bora kwao
Wao muda wote wanataka kukuona unakimbizana na kazi zao, sijawai kusikia wakisema kuwa nimekuwa the best
Karibuni
Wahindi wanyonyaji sana hao. Wanapenda kufanyiwa kazi hawana kabisa shukrani.Hata lipa yao ni kiduchu.
India ilijengwa na waafrica?
Afu wanapenda kuchelewesha malipo plus kuzungukanaWahindi wanyonyaji sana hao. Wanapenda kufanyiwa kazi hawana kabisa shukrani.Hata lipa yao ni kiduchu.
Kweli mkuu jamaa yangu ni Driver lakini anatumwa hadi sokoni pia anapewa kazi ya kunyoosha nguo za familia ya bosi wake yaani mipaka ya kazi haipo kabisa.Umeajiriwa dukani unatumwa mpaka nyumbani.Huko nyumbani isidhanie kuwa unatumwa vitu vya thamani ni kupewa taka ukatupe au kufyagia basi.
kuna siku nipo dukani nkaitwa store kupanga mzigo na kufyagia,nkatumia nguvu nyingi nimalize haraka haraka nipate kupumzika.daah heyyy kumaliza kufagia naambiwa sijapangusa mavumbi ukutani.kumaliza mavumbi ukutani ni kupanga boksi,na wenyewe wanakuwepo wanakutizama tu hawakusaidii
Dukani ngozi nyeusi tukiwepo tunatakiwa tusimame tu wao wameweka viti vya kukalia na hakuna hakuna ruhusa ya kuzungumza ovyo ovyo, ni kuangalia kazi tu.
Kuna mweusi mwezangu mmoja alipinda akasema "Tusizungumze vipi bwana kwani hapa tupo msikitini tunaswali,kwamba tukae kimya?" Jamaa kusema vile Boss kaona kajibiwa fyongo mbele ya mwanawe,akakaa kimya ila baada ya kazi jamaa akaitwa akafanyiwa hesabu ya kazi yake kisha akaambwa kazi basi.
Kazi inakua kubwa mshahara kidogo,na muda wa kufanya kazi ni mwingi.Kila mwaka wanakua wanatoa sadaka kwa watu wao wa karibu na wafanyakazi wao.Fursa ndo hii hii,ililkua mwisho wa mwezi tulianza kupewa sadaka wafanyakazi kisha na mshahara ukafatia.
Siku ya pili sikurudi tena kazini,jamaa walipiga simu mpaka basi.Boss kaona kama kaibiwa,kutoa pesa za sadaka na mshahara hapo hapo ilimuuma sana na aliishia kunilani tu na kuapiza kwamba sitopata kazi popote na ntarudi pale pale.Sikurudi.