BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,535
- 10,974
Wakuu,ninaendelea kutafakari juu ya siasa za hapa Tanzania kutokana na uminywaji wa demokrasia.
Maana tumeshuhudia matokeo ya marudio ya uchaguz kwenye zile kata 43.Ambapo CCM ilishinda kata 42 na upinzani kata 1 pekee.
Hali hiyo inanifanya nitafakari juu ya hatma ya wabunge wa upinzani kwenye uchaguzi ujao wa mwaka 2020,je kuna yeyote atafanikiwa kutetea kiti chake? Na hata kama akitetea je,atatangazwa mshindi?
Karibuni kwa mawazo yenu.