Je kuna mbunge wa CHADEMA aliyewahi kulala bungeni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kuna mbunge wa CHADEMA aliyewahi kulala bungeni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sir R, Aug 2, 2011.

 1. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mara kwa mara wabunge toka CCM wamekuwa wakilala bungeni.

  Sijawahi kushuhudia mbunge wa upinzani kalala kikaoni. Kama kuna mtu aliwahi kumwona mbunge hata mmoja toka upinzani aliyelala atushirikishe.

  Ni kwanini viongozi hao toka CCM wana tabia ya kulala ?

  Nawaasilisha
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ombwe la uongozi!
   
 3. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #3
  Aug 2, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mzee wa kiranja, Mrema mpaka udenda unamtoka ingawa inasemekana kuwa Mrema si waupinzani bali ni wa ccm lakini pia ni bingwa wa kulalaanashindana na Wassira na Komba
   
 4. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #4
  Aug 2, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Akilala mbunge wa chadema lazima ajiuzulu ubunge
   
 5. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #5
  Aug 2, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nishamwona Mrema amelala hadi udenda una toka.

  <br />
  <br />
   
Loading...