Je kuna mapenzi kweli hapa

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Kuna dada nafanya nae kazi na mtu wa nyumbani, kuna kipindi aliniambia amepata mchumba na aliomba ruhusa kwenda kujitambulisha kwa wazazi wake. sasa ni miaka miwili, jana nilimuuliza vipi mnafunga lini ndoa (harusi) na yule mchumba wako? akanijibu mmmmh bado najaribu kufikiria. Maana huyu mchumba wangu naona kama ananitumia sana. Kila mara amekuwa wa kuomba msaada ya hapa na pale amekuwa akitoahela kumsaidia lakini anaona sasa imezidi, alikuwa anaishi peke yake sasa kaenda kuleta mama yake, mdogo wake, mtoto wake aliyezaa na mwanamke mwingine na mtoto wa dada yake wakati anajua kipato chake ni kidogo sasa imekuwa taabu sana mara anatumia meseji hawana unga, mara hata mboga ya kula leo hamna , sasa kodi imeisha mara hana anahangaika asaidiwe, madeni anayo mengi mpaka anajiuliza hivi wakioana itakuwaje? Nikamjibu awasiliane na wazaziwake awaulize ushauri maana sikutaka kuingia moja kwa moja kumjibu. Sasa nimeleta hapa najua manaweza kutoa ushauri wenu wa kwa hili.
 
kwa na yeye yupo jf?

Au utaenda kumwambia umebadilisha mawazo, sasa unataka umshauri?
 
ni kisema heri niwe single naonekana mbaya...
eti wakiitwa wanawake wenye wanaume nae anaenda.....
mmmmh dunia hii ya kesho keri ya jana....
mwambie anijoin kwenye chama..... heri mimi k yangu iendelee kunenepa kuliko itumike iishe na brain nayo inaisha...for what....bye.
 
Hapo huyo dada afanye kazi kubwa kumuelimisha Jamaa elimu elementary ya Uhasibu hasahasa kwenye maeneo ya kubalansi peti keshi book, mwambie mimi ni mtaalamu na huwa natoa twishen patitym.
 
ni kisema heri niwe single naonekana mbaya...
eti wakiitwa wanawake wenye wanaume nae anaenda.....
mmmmh dunia hii ya kesho keri ya jana....
mwambie anijoin kwenye chama..... heri mimi k yangu iendelee kunenepa kuliko itumike iishe na brain nayo inaisha...for what....bye.
Naona Smile siku hizi kwa kufunguka hujambo. Endelea kuinenepesha mama!
 
ni kisema heri niwe single naonekana mbaya...
eti wakiitwa wanawake wenye wanaume nae anaenda.....
mmmmh dunia hii ya kesho keri ya jana....
mwambie anijoin kwenye chama..... heri mimi k yangu iendelee kunenepa kuliko itumike iishe na brain nayo inaisha...for what....bye.
Unainenepesha,mh haya ngoja niachie hapa maana naweza weka maneno mengine mwishowe wani-ban bureeee.:tongue:
 
ni kisema heri niwe single naonekana mbaya...
eti wakiitwa wanawake wenye wanaume nae anaenda.....
mmmmh dunia hii ya kesho keri ya jana....
mwambie anijoin kwenye chama..... heri mimi k yangu iendelee kunenepa kuliko itumike iishe na brain nayo inaisha...for what....bye.

Smile hiyo ni kukata tamaa katika mambo ambayo yapo wazi
Ni maamuzi tuu na sio kwamba wanaume wote wako hivyo bana
Huyo naona amezoeshwa na huyo dada kufanya mambo hayo maana wewe unajijua kuwa kipato chako kidogo then unaenda kukusanya familia yako yote ya kwenu kutegemea mtu mwingine akulishie familia hiyo
Huo ni ulimbukeni na sidhani kama inatosheleza kusema kuwa wanaume wote wako hivyo bana
 
hivi loh huyo dada anafaidi nini hapo kwa jamaa...mimi kiukweli bro sipendi mtu wa kunikera kabisa ...maisha ni furaha bwana...sidhani kama hata huwa ana smile mdada wa watu ..heri tu anijoin kwenye ubachelor hata asmile kidogo...
huyu kufa kwa pressure kupo karibu..
 
ni kwamba kwa huyo dada....dushe ndo mpango mzima au.....?
 
hivi loh huyo dada anafaidi nini hapo kwa jamaa...mimi kiukweli bro sipendi mtu wa kunikera kabisa ...maisha ni furaha bwana...sidhani kama hata huwa ana smile mdada wa watu ..heri tu anijoin kwenye ubachelor hata asmile kidogo...
huyu kufa kwa pressure kupo karibu..

Yeah kufurahia kwake hakupo
Na ndo maana tunasema fanya right choice usije ukakimbilia tuu mwanaume umemuona
Jitahidi kumsoma kabla hujampeleka kwenu kumtambulisha
The same sisi tunavyofanya
Siwezi kukutana na wewe leo nianze kukurupuka kukutambulisha na kuvalishana pete
lazina nikujue kwanza ni mtu wa aina gani
pole zake sana huyo dada
 
mimi mjamaa kama huyu naweza mpeleka hata polisi afungwe hata mwaka...mimi mwanaume jinga jinga siwezi kwa kweli siwezi.....mwanaume wa kujua tu maisha magumu hadi aombewe? siwezi..
 
Wewe mleta mada haya yanakuhusu nini? ni kwa nini usilete ya kwako? au wewe huna tatizo lolote kila kitu safi? hiki ndio kinaitwa kimbele front.
 
hapo amna mke,hakuna ile kwenye shida na raha,mwanamke anaye penda muwewote kwenye raha lakn akubague kwenye shda mimi hapana tena sio mke tu hana mshikaji wangu yaani marafiki wanaonijali kwenye raha tu kwenye shda wanakaa pembeni kwakwel mi hapana
 
Wewe mleta mada haya yanakuhusu nini? ni kwa nini usilete ya kwako? au wewe huna tatizo lolote kila kitu safi? hiki ndio kinaitwa kimbele front.

we nae waajabu kabisa siunge kaakimya kama unaona pumba kuliko kuanza kutuharishia hapa
 
Duh! Sasa hapa umetoa ushauri au?
ni kisema heri niwe single naonekana mbaya...
eti wakiitwa wanawake wenye wanaume nae anaenda.....
mmmmh dunia hii ya kesho keri ya jana....
mwambie anijoin kwenye chama..... heri mimi k yangu iendelee kunenepa kuliko itumike iishe na brain nayo inaisha...for what....bye.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom