Je, kuna makala yoyote ya Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere?

Swahili AI

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
6,077
46,266
Habari wana JF,

Hivi kuna yoyote aliwahi kuona makala (documentary) inayohusu maisha ya Muasisi wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere?

Mimi binafsi sijawahi. Ila ingekuwa fursa nzuri yakaandaliwa kwa ajili ya vizazi vijavyo na uzuri zaidi mkewe mama Maria bado yupo anaweza akachangia mengi.
 
Ipo iliyoandaliwa na TV moja ya China; wala haikuwa complete na thorough. Wasanii waliiomba serikali itoe fungu ili waandae documentary hiyo wakaambiwa ni wazo zuri ila mambo yote yakaishia hapo.

Safi
Ipo iliyoandaliwa na TV moja ya China; wala haikuwa complete na thorough. Wasanii waliiomba serikali itoe fungu ili waandae documentary hiyo wakaambiwa ni wazo zuri ila mambo yote yakaishia hapo.

Back
Top Bottom