Je kuna maisha au fursa baada ya kustaafu utumishi ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kuna maisha au fursa baada ya kustaafu utumishi ?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by newazz, Jan 25, 2012.

 1. n

  newazz JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 471
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  Kuna mifano mingi ya watu waliopata mafao mazuri kama sehemu ya malipo ya kustaafu baada ya utumishi wa umma au sekta nyingine hapa Tanzania.
  Lakini mwisho wa siku, hawa watu hupoteza pesa hizo na kujikuta hawana kitu.
  Hivi mtu anatakiwa ajiandae vipi? Awekeze katika maeneo gani? Je kweli Tanzania, haina fursa ambazo mtu anaweza kufanya biashara halali, zaidi ya kelele tunazosikia kila siku za ufisadi? Je ni lazima kila mtu awe fisadi ili aishi katika ustaafu wenye neema?
   
Loading...