Je kuna mahesabu mengi kwenye kozi ya Logistics and transport managment?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,546
2,986
Habari wadau naimba kuuliza tu!

Mimi ni mgeni wa hesabu yaani nahisi kama sijaumbiwa kusoma hesabu, je kwa wale wazoefu naomba kuuliza mahesabu yapo mengi kwenye kozi hii kwa sababu naipenda sana kuisomea.
 
Hesabu hapo ndio nyumbani kwao.
>Vilometer
>Mazutu bin Videbe
>Uzito Tonnage
>Malipo..... vibali .......Depreciation
Heeeee?
 
Ahsanten ila sijapata jib la uhakila l now mahesabu yapo je kwa tusiojua hesabu kabisa i mean sina msingbmzur Je ntaweza??
 
utadisko mdgo wangu kama hesabu ulipata F o level hii kozi ni ngumu sana na huo ndo kwel msema kweli mpenzi w mungu
 
Usitishwe hii koz ipo NIT wengi wanasoma pale wanetokea cheti ,diploma ,na O LEVEL walipata div 4

Na degree wanafanya vzr tu, kikubwa kukaza, tena NIT ukikaza unatoka na first class, ukidisco NIT umetaka mwenyewe
 
Mkuu hii course hesabu zipo ingawa sio za kutisha ukikomaa vizuri unatoboa. Cha msingi usiwe mbovu sana wa hesabu. Binafsi naisoma hii course pale NIT though sikusoma hesabu nikiwa Advance level
 
Kaka kama unataka kusoma chuo kikuu alaf ukimbie hesabu. Sikushauri.
Coz nyingi chuo kikuu zina hesabu
 
nyie danganyikeni mkulupuke kuvamia kozi za watu wa hesabu wakat wew ni arts mfano HKL,HGL
Akikomaa anatoka tu ata hivo hiyo hesabu hasomi miaka yote ...pale MU atasoma semester mbili tu then anaacha
 
Back
Top Bottom