habari wana jf
Gari yangu iko chini sana inagonga kwa chini kwenye matuta nk sasa nimepewa ushauri wa kuinyanyua .Je endapo ntainyanyua kuna madhara yeyote yanaweza tokea kwenye gari yangu
naombeni ushauri na uzoefu wenu.asanteni
Lazima mabadiliko yawepo mkuu...kuna kitu kinaitwa force and gravity pamoja na weight hapo vinahusika sana...yaani gari yako ilitengenezwa kwa kimo hicho kulingana na uzito wake pia iweze kwenda kasi kufuatana na kimo pamoja na uzito. kama ulisoma vizuri hata physics ya form two tu inatosha kuelewa ninachosema. hivyo zichange tu utafute gari ya juu!
sikushauri kabisa labda upate wataalam hasa, pia mwonekano wa asili unapotea, ukienda mwendo mkali gari
mtaalam kanishauri kuwa ninyanyue nasikia wengi wananyanyua gar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.