Je kuna madhara kuinyanyua juu gari

jail

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
477
179
habari wana jf
Gari yangu iko chini sana inagonga kwa chini kwenye matuta nk sasa nimepewa ushauri wa kuinyanyua .Je endapo ntainyanyua kuna madhara yeyote yanaweza tokea kwenye gari yangu
naombeni ushauri na uzoefu wenu.asanteni
 
sikushauri kabisa labda upate wataalam hasa, pia mwonekano wa asili unapotea, ukienda mwendo mkali gari inayumba nk
 
Lazima mabadiliko yawepo mkuu...kuna kitu kinaitwa force and gravity pamoja na weight hapo vinahusika sana...yaani gari yako ilitengenezwa kwa kimo hicho kulingana na uzito wake pia iweze kwenda kasi kufuatana na kimo pamoja na uzito. kama ulisoma vizuri hata physics ya form two tu inatosha kuelewa ninachosema. hivyo zichange tu utafute gari ya juu!
 
Inategemea na aina ya gari. Isije kuwa una bajaji na unataka kuinyanyua!
 
yap center of gravity itakuwa high kwA hiyo stability yake itapungua
 
kama ni pick up inyanyue me yangu datsun nimefunga tire kubwa imekuwa juu sana mpaka nimeweka ngazi japo ilikuwa haigusi chini.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom