Je, kuna madhara gani nisipo update app kwenye simu?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,684
26,779
Kuna muda simu inanilazimisha n-update na mimi nafuta yaani sii update nafuta kabisa. Je, kuna madhara yoyote nisipo fanya hivyo?
 
Madhara yapo kiongozi, kila update ukiisoma maelezo yake, inakueleza kabisa kua inatimiza /rekebisha mapungufu flani, hivyo update ufanisi uongezeka
Sasa mbuna inalazimisha ku update app ambazo hata kwenye simu sijui zina kazi gani sijawahi kuzitumia hata
 
Sasa mbuna inalazimisha ku update app ambazo hata kwenye simu sijui zina kazi gani sijawahi kuzitumia hata
kama huna kazi nazo achana nazo zitakumalizia tu mb zako!!lakini baadhi ya hizi makitu usipozifanya simu inakuwa slow!!
 
Unaipeleka mochwari ujue kuna siku itakugomea kufanya mambo kibao na ndio itakuwa mwisho wake
Duu kumbe.sasa kuna app sijui hata zina kazi gani kwenye simu zinadai nazo nizi aptdate hivi nazo zinakazi gani
 
kama huna kazi nazo achana nazo zitakumalizia tu mb zako!!lakini baadhi ya hizi makitu usipozifanya simu inakuwa slow!!
Duu kumbe.
Sory mkuu hivi nikitaka kuzifuta nazifutaje maana kwenye seting app sehemu ya ku unstill zinagoma
 
Kuna mda simu inanilazimisha ni aptdate na mimi nafuta yaani sii aptdate nafuta kabisa je?kuna madhara yeyote nisipo fanya hivyo?
Ku Update kunasaidia sana hata kukinga simu yako zidi ya Virus ndio maana wakishaona Kuna kitu hakipo wanakiongezea kwenye App ilikuweka App kiusalama zaidi na simu kiujmla.....Kwa hyo no vizur ku Update kila Mara
 
Duu kumbe.sasa kuna app sijui hata zina kazi gani kwenye simu zinadai nazo nizi aptdate hivi nazo zinakazi gani
App ambazo hutumii zipotezee tu labda kama ni system app ila ukitaka kuupdate kila app utapoteza tu mb zako......mimi hua na update app ninazo tumia tu
 
Ku Update kunasaidia sana hata kukinga simu yako zidi ya Virus ndio maana wakishaona Kuna kitu hakipo wanakiongezea kwenye App ilikuweka App kiusalama zaidi na simu kiujmla.....Kwa hyo no vizur ku Update kila Mara
Asnte mkuu ila inaniudhi ni aptdate app ambazo hata sijui zinakazi gani kwenye simu na sizitumii hata
 
Duu kumbe.
Sory mkuu hivi nikitaka kuzifuta nazifutaje maana kwenye seting app sehemu ya ku unstill zinagoma

Apps za Google huwezi kuzi uninstall lakini unaweza kuziondoa kwa kuzi disable. Kama Hina kazi nazo nennda Settings>Apps>chagua app>disable.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom