Kama inakutaka u aptudate usikubali kabisa!Kuna mda simu inanilazimisha ni aptudate na mimi nafuta yaani sii aptudate nafuta kabisa je?kuna madhara yeyote nisipo fanya hivyo?
Hahaha sawa kabisa mkuuKama inakutaka u aptudate usikubali kabisa!
Ila kama inataka ui-update, basi fanya hivyo!
Sasa mbuna inalazimisha ku update app ambazo hata kwenye simu sijui zina kazi gani sijawahi kuzitumia hataMadhara yapo kiongozi, kila update ukiisoma maelezo yake, inakueleza kabisa kua inatimiza /rekebisha mapungufu flani, hivyo update ufanisi uongezeka
Unaipeleka mochwari ujue kuna siku itakugomea kufanya mambo kibao na ndio itakuwa mwisho wakeKuna mda simu inanilazimisha ni aptdate na mimi nafuta yaani sii aptudate nafuta kabisa je?kuna madhara yeyote nisipo fanya hivyo?
kama huna kazi nazo achana nazo zitakumalizia tu mb zako!!lakini baadhi ya hizi makitu usipozifanya simu inakuwa slow!!Sasa mbuna inalazimisha ku update app ambazo hata kwenye simu sijui zina kazi gani sijawahi kuzitumia hata
Duu kumbe.kama huna kazi nazo achana nazo zitakumalizia tu mb zako!!lakini baadhi ya hizi makitu usipozifanya simu inakuwa slow!!
Ku Update kunasaidia sana hata kukinga simu yako zidi ya Virus ndio maana wakishaona Kuna kitu hakipo wanakiongezea kwenye App ilikuweka App kiusalama zaidi na simu kiujmla.....Kwa hyo no vizur ku Update kila MaraKuna mda simu inanilazimisha ni aptdate na mimi nafuta yaani sii aptdate nafuta kabisa je?kuna madhara yeyote nisipo fanya hivyo?
App ambazo hutumii zipotezee tu labda kama ni system app ila ukitaka kuupdate kila app utapoteza tu mb zako......mimi hua na update app ninazo tumia tuDuu kumbe.sasa kuna app sijui hata zina kazi gani kwenye simu zinadai nazo nizi aptdate hivi nazo zinakazi gani
Asnte mkuu ila inaniudhi ni aptdate app ambazo hata sijui zinakazi gani kwenye simu na sizitumii hataKu Update kunasaidia sana hata kukinga simu yako zidi ya Virus ndio maana wakishaona Kuna kitu hakipo wanakiongezea kwenye App ilikuweka App kiusalama zaidi na simu kiujmla.....Kwa hyo no vizur ku Update kila Mara
Duu kumbe.
Sory mkuu hivi nikitaka kuzifuta nazifutaje maana kwenye seting app sehemu ya ku unstill zinagoma
Zitoe zisikujazie nafasi bure back na apps zenye manufaa tuuDuu kumbe.sasa kuna app sijui hata zina kazi gani kwenye simu zinadai nazo nizi aptdate hivi nazo zinakazi gani
Cm securitySory mkuu ni security clean gani nzuri ya ku clean cm