Je, kuna madhara gani nisipo update app kwenye simu?

Apps za Google huwezi kuzi uninstall lakini unaweza kuziondoa kwa kuzi disable. Kama Hina kazi nazo nennda Settings>Apps>chagua app>disable.
hizi najua nyingine hazina hii sehemu ya ku disable
 
Kuna mda simu inanilazimisha ni aptdate na mimi nafuta yaani sii aptdate nafuta kabisa je?kuna madhara yeyote nisipo fanya hivyo?
Unakuwa out of date. Kama kuna features mpya zimeongezwa huwezi kuzipata.
Pia na security inapungua. Wanapofanyia update wanakuwa wameona baadhi ya udhaifu kwa app yao ndio maana unatakiwa uiapdate. Ili uende sawa.
 
kwa hiyo kisheria ni lazma ni apdate
 
Mkuu wewe update kila itakapokuletea taarifa hiyo na kuna kingine kuna update simu nzima ili upate Vitu vingine vipya! Hiyo taarifa ijawahi kukuletea
 
Back
Top Bottom