Je, kuna mabadiliko yoyote ya riba kwenye Benki?

Nchi hii hamna bank yenye undugu au ujamaa kakitka ukopeshaji

Nilikopa bank 8 ml nkalipa m15 siwezi kuwasahu nmb kamwe
Mkuu,Huwezi kopa NMB 8M kwa 5 years alafu ukarudisha 15M ( principle plus interest) hata kama riba ingekuwa 21 percent. Naongelea based on uzoefu na uhalisia wa kimahesabu.Hata kama ni chumvi,this is too much
 
Kwa tarifaxuao ya ya leo mwezi huu na wa kumi kutakiwa na utelekezaji wa maagizo ya kushushwa kwa riba. Tusubiri tuone.
 

Attachments

  • 2021091410420212.pdf
    66.8 KB · Views: 14
Ni jambo gani ambalo serikali ya awamu hii sijuhi ya sita au saba imeliagiza/kulifuatilia na likatekelezwa? Anzia ule mzigo wa cocaine tani moja, wezi wa mafuta waliotoboa bomba na kujiunganishia kama maji, tozo za simu, bei ya gesi ya kupikia, nk, nk....
Duh,
 
wewe ukimkopesha mtu million hizo kwa miak saba unadhni utataka mhusika akurudihie sh ngapi
Swali la msingi sana-Ingawa hata data za interest alizoleta hapa ni uongo mtupu-Ni mjinga pekee anayeweza kumwamini 🤣 🤣
 
Riba 17%? hapo maendeleo msahau mpaka yesu arudi, riba kubwa na mikodi kama ya kina mwigulu ni dawa ya kuua uchumi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom