John7371

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
1,658
2,000
Nchi hii hamna bank yenye undugu au ujamaa kakitka ukopeshaji

Nilikopa bank 8 ml nkalipa m15 siwezi kuwasahu nmb kamwe
Mkuu,Huwezi kopa NMB 8M kwa 5 years alafu ukarudisha 15M ( principle plus interest) hata kama riba ingekuwa 21 percent. Naongelea based on uzoefu na uhalisia wa kimahesabu.Hata kama ni chumvi,this is too much
 
John7371

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
1,658
2,000
NMB ni wezi sana ni kama bayport ukikopa unarudisha asilimia 60%ya pesa uliyokopa
Kwa mtu mwenye uzoefu wa hizi taasisi za ukopeshaji-huwezi fananisha unafuu wa NMB na Bayport akakuelewa hata kidogo-It's better tukaongelea uhalisia.
 
Wasomba

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
241
500
Kwa tarifaxuao ya ya leo mwezi huu na wa kumi kutakiwa na utelekezaji wa maagizo ya kushushwa kwa riba. Tusubiri tuone.
 
Attachments

  • File size
    66.8 KB
    Views
    6

mpelu6

Member
Aug 21, 2021
28
45
Yan hata riba ingekuwa 25percent,hayo marejesho kwa NMB kwa 5years ni uwongo mtupu

Bank hizi sio rafiki kwa wakopaji ukichukua mkopo wa milion 30 nmb unawarudishia milion 45 kwa miaka 7sasa huu kama sio wizi ni nini?
 
andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
2,284
2,000
Ni jambo gani ambalo serikali ya awamu hii sijuhi ya sita au saba imeliagiza/kulifuatilia na likatekelezwa? Anzia ule mzigo wa cocaine tani moja, wezi wa mafuta waliotoboa bomba na kujiunganishia kama maji, tozo za simu, bei ya gesi ya kupikia, nk, nk....
Duh,
 
Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
2,165
2,000
Kwanin unawatetea nenda kakope uone,ukikopa nmb milion 30 unawatudishia milion 45 kwa miaka 7 sasa kama sio wiz nini?
wewe ukimkopesha mtu million hizo kwa miak saba unadhni utataka mhusika akurudihie sh ngapi
 
John7371

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
1,658
2,000
Kwanin unawatetea nenda kakope uone,ukikopa nmb milion 30 unawatudishia milion 45 kwa miaka 7 sasa kama sio wiz nini?
Brother embu twende taratibu-Umesema NMB mtu anakopa 30M for 7yrs anarudisha total interest ya 15M,Swali ni Je,inakuweje sasa mtu achukue 8M for 5yrs arudishe total interest ya 7M ambayo ni very expensive kuliko for 7yrs? Hapa ndo uwongo wa argument yako ulipo sababu you pay more interest kwendana na urefu wa repayment period.
 
John7371

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
1,658
2,000
wewe ukimkopesha mtu million hizo kwa miak saba unadhni utataka mhusika akurudihie sh ngapi
Swali la msingi sana-Ingawa hata data za interest alizoleta hapa ni uongo mtupu-Ni mjinga pekee anayeweza kumwamini 🤣 🤣
 
John7371

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
1,658
2,000
Bank hizi sio rafiki kwa wakopaji ukichukua mkopo wa milion 30 nmb unawarudishia milion 45 kwa miaka 7sasa huu kama sio wizi ni nini?
Ndo maana nikasema wewe upo too theoretical,ungekuwa unaongelea Bayport au Finca ningekuelewa-Lakini kwenye hz major banks hasa CRDB,NMB,TPB nk. hiyo interest uliyoisema haipo kwenye uhalisia. Msingi wa hii hoja ni kwenye 8M uliyosema ulikopa NMB,mbona ghafla umegeukia kwenye mkopo wa 30M tena for 7yrs?🤣🤣🤣
 
mpelu6

Member
Aug 21, 2021
28
45
Brother embu twende taratibu-Umesema NMB mtu anakopa 30M for 7yrs anarudisha total interest ya 15M,Swali ni Je,inakuweje sasa mtu achukue 8M for 5yrs arudishe total interest ya 7M ambayo ni very expensive kuliko for 7yrs? Hapa ndo uwongo wa argument yako ulipo sababu you pay more interest kwendana na urefu wa repayment period.

Ya M8 sikuisema mimi,Pia ndio maana Mh Rais Samia haliona hilo akaagiza bank kupunguza riba lakin bado wameweka pamba masikioni
 
Kong Chi

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
249
500
Riba 17%? hapo maendeleo msahau mpaka yesu arudi, riba kubwa na mikodi kama ya kina mwigulu ni dawa ya kuua uchumi
 
John7371

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
1,658
2,000
Ya M8 sikuisema mimi,Pia ndio maana Mh Rais Samia haliona hilo akaagiza bank kupunguza riba lakin bado wameweka pamba masikioni
Ishu ya kupunguza riba haihitaji siasa mkuu,inahitaji tathmini ya kina juu ya hali ya soko-Mabenki wanakopa kwa riba kubwa sana katika kupata mitaji ambayo huitumia kutukopesha sisi na bado hujaweka risk,faida pamoja na gharama nyingine za kiuendeshaji kwa mabenk husika ndiyo maana serikali haijatumia sera ya kuzilazimisha bali kuzishauri pamoja na kuzipa motisha.Chimbuko la haya yote ni serikali na sera zake mbovu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom