Je, kuna maana yoyote maendeleo ya nchi kutegemea ilani ya uchaguzi ya chama fulani?

Golobeja

Member
Aug 20, 2017
93
98
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu sasa wenzetu wanakua na lengo moja linalotumia mda mrefu(mfano mpango wa china kutawala anga ifikapo mwaka 2050) ila hapa nyumbani tuna endeshwa na ilani ya CCM yenye mambo lukuki yasio tekelezeka.

Na chakushangaza zaidi imekua ikibadilika kila baada ya miaka mitano naomba niulize swali ivi ile sera ya kilimo kwanza ingepewa mda wa miaka ishirini na kufanya uwekezaji mkubwa katika zao la mpunga kwa kutumia pesa ilio tumika kujenga daraja la kigamboni kutengeneza irrigation system katika maeneo mbali mbali nchini tungekuwa wapi katika kuzalisha mpunga?

Na je tungepata pesa kisi gani kwa kuuza zao hili kwa majirani zetu? Tungeokoa pesa kiasi gani tunazotumia kuagiza mchele nje ya nchi?
Kwa kiasi hicho cha pesa nadhani tungejenga madaraja hata kumi na kipato cha wananchi kingeongezeka.

Nadhani sasa ni wakati wa wantanzania kubadirika kifikra je tunahitaji kuendelea kutumia ilani ya uchaguzi ya chama fulani
 
Mambo ya uchumi hutayaweza kuyabalance. Katika uchumi kunakitu kinaitwa OPPORTUNITY COST.
Ni alternative forgone ili kufanikisha jambo lingine.
Haiwezekani mambo yote yaende sambamba. Lazima jambo fulani lisimame ili kupisha jambo lingine lifanyike.
Yaani OPPORTUNITY COST IS OPPORTUNITY LOST.
 
Chama tawala a. k. a chama Dola Nadhani ni Dhana potofu ambayo inatumika na chama cha Siasa 'Huwa nawasikia wakisema Serikali ya CCM badala ya Serikali ya Tanzania kwa maneno mengine CCM ina hati miliki ya Serikali .Mwenyekiti wa chama ndiye Rais hapo ndipo tuna hitaji Katiba nyumbulishi
 
Thats why
Mambo ya uchumi hutayaweza kuyabalance. Katika uchumi kunakitu kinaitwa OPPORTUNITY COST.
Ni alternative forgone ili kufanikisha jambo lingine.
Haiwezekani mambo yote yaende sambamba. Lazima jambo fulani lisimame ili kupisha jambo lingine lifanyike.
Yaani OPPORTUNITY COST IS OPPORTUNITY LOST.[/Q
Thats why we have to take opportunity and not to lost it
 
Thats why
We hujaelewa. OPPORTUNITY LOST ni kukosa kufanya jambo lingine kwa sababu kuna lingine llinafanyika. Tatizo ubongo wa watanzania waliofundishwa ba maprofesa wa TZ haufanyi kazi. Kuelewa ni mbinde.
 
Kwaiyo uonavyo ww ni bora kujenga daraja au kutengeneza fursa za kujenga madaraja tatizo la elimu ya kukukariri ndio hii
 
Kwa hiyo ulitaka daraja lisijengwe kisa hela zinakwenda kulima mpunga?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom