Je, Kuna ladha za vinywaji zisizo na rangi?

exaud morrey

JF-Expert Member
May 22, 2017
1,024
975
Wanabodi naomba msaada kuhusu hili, je Kuna Radha zavinywaji Kama pombe na juisi zisizo na rangi mfano Radha ya Nana's, chungwa na zisizo na rangi yaani naweza weka kwenye maji zikaacha ladha bila kuathiri rangi? Kama zipo zinapatikana wapi?
 
Wanabodi naomba msaada kuhusu hili je Kuna Radha zavinywaji Kama pombe na juisi zisizo narangi mfano Radha ya Nana's,chungwa no zisizo narangi yaani naweza well kwenye maji zikaacha Radha bila kuathili rangi? Kama zipo zinapatikana wapi?
Sprite?
 
Radha ndiyo kitu gani?.
Kama una maanisha ladha, vodka karibia zote hazina rangi lakini zina flavor tofauti tofauti. Angalizo usije ukaa kujaribu jaribu utakuwa mlevi.
 
NDIO
 
Radha ndiyo kitu gani?.
Kama una maanisha ladha, vodka karibia zote hazina rangi lakini zina flavor tofauti tofauti. Angalizo usije ukaa kujaribu jaribu utakuwa mlevi.
Mimi nibonge lamlevi naladha hizo nimezikuta kwenye pombe nataka nizitumie kwenye juice yamiwa ili iwe naladha mseto isiyohalibu karangi chautopolo
 
Jaribu pombe moja kutoka kenya inaitwa cane....ni mwendo wa harufu ya miw tu...mulamwah ndie barozi wa hicho kinywaji......hivi unamfahamu mulamwah😂😂 ...baba yake na kaira kyando
 
Back
Top Bottom