Je, kuna kitu Abdulrahman Kinana kadhihirisha kuhusu genetics?

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Ukingalia A.Kinana mpaka jana anajiuzulu ameonyesha kukubalika pande zote mbili, Upinzani na Chama tawala, kila mtu anamwagia sifa za uhodari na uchapa kazi uliotukuka, sijawahi kushuhudia hapa TZ mtu ambaye ameweza kufikia hadhi hiyo ya kupendwa na kukubalika na Upinzani na CCM kwa pamoja, hata Nyerere ambaye upinzani pia wanajifanya kumpenda lkn nina uhakika kama angekuwepo na akapewa Ukatibu mkuu wa CCM wangemchukia pia, Je inasema chochote kuhusu genetics?

Ikumbukwe kwamba A.Kinana siyo Mbantu kibaolojia bali ana asili ya Somalia, na sijawahi kukutana na Msomali masikini TZ au nchi nyingine yoyote ile nje ya Somalia ambayo ina Somali community, pia wakati Somalia ina Amani enzi za akina Siad Bare ilikuwa mbali sana Kiuchumi ukilinganisha na nchi zetu, leo hii Somali community imenunua karibia jiji lote la Nairobi, hata Dar wamewekeza sana kwenye real estate wanamiliki biashara nyingi kwa kifupi wamefanikiwa sana klk sisi wenyeji, AK wanamiliki biashara kwenye maeneo ya makazi ya wenyeji kama Soweto mpaka watu wa AK wakaamua kuwachoma moto na kuharibu biashara zao kwa wivu na kushindwa ku-compete nao.

Je A.Kinana anathibitisha chochote kuhusu race and intelligence?
 
Kinana kakimbia kikundi cha mungiki alijaribu mara tatu kuandika barua za kijiudhuru kukwepa mwenendo wa siasa chafu zinazoendelea huko
 
Kinana kakimbia kikundi cha mungiki alijaribu mara tatu kuandika barua za kijiudhuru kukwepa mwenendo wa siasa chafu zinazoendelea huko


Sawa, lkn hoja yangu ni kwamba kwa nini anakubalika na Upinzani na CCM kwa pamoja? Hiii haijawahi kutokea!
 
Sawa, lkn hoja yangu ni kwamba kwa nini anakubalika na Upinzani na CCM kwa pamoja? Hiii haijawahi kutokea!
Kundi kubwa halitaki maovu ndo mana wanamuonea huruma kwa mambo yanayotendeka huko ni aibu mno kutetea maovu watu wanamuona kama anataka kujitakasa wengi wanaumia wapo kimya tu.
 
Kundi kubwa halitaki maovu ndo mana wanamuonea huruma kwa mambo yanayotendeka huko ni aibu mno kutetea maovu watu wanamuona kama anataka kujitakasa wengi wanaumia wapo kimya tu.


Nafikiri tunaongelea vitu viwili tofauti, hata hivyo mchango wako siyo mbaya pia!
 
Hata kitendo cha yeye kujipima mwenyewe na kuamua kukaa kando mbali na siasa chafu za ccm ni heshima kuu! Sina kumbukumbu ya yeye kama katibu mkuu wa ccm kuwahi kusikika akitoa matamko ya hovyo kama wenzake! Sipendi kuongelea Race yake kama sababu ya yeye kuwa mstaarabu ila naweza kumzungumzia Abdlrahman Kinana ninayemjua,aliyewahi kuwa mbunge wangu,na hadi leo naweza kusema kuwa Kinana ndiye mbunge pekee wa arusha mjini ambaye alikuwa bora kuliko wengine.
 
Ukingalia A.Kinana mpaka jana anajiuzulu ameonyesha kukubalika pande zote mbili, Upinzani na Chama tawala, kila mtu anamwagia sifa za uhodari na uchapa kazi uliotukuka,

Hii ndio sababu hasa since 2012 wakati Chama kimechakaa amezunguka kila mkoa Bila kuhofia atapigwa mawe ili mradi tu atetee Chama.
 
Eti sijawahi muona msomali masikini ,unachokiongea sijui kama unatafiti zake!
 
Eti sijawahi muona msomali masikini ,unachokiongea sijui kama unatafiti zake!


Nimesema nje ya Somalia ambako kuna Vita tangu mwaka 1991, yaani Somali community ukilinganisha na wenyeji wa nchi waliopo, kwa mfano hapa Bongo wana hali nzuri klk sisi!
 
Back
Top Bottom