Je kuna kazi zinazotangazwa kwa waliomaliza form 6?

siyenda

Member
Oct 1, 2010
62
4
wanajf naomba mnijuze kama kuna kazi zozote zinazotangazwa kwa form 6 leaver?kwani natafuta mtaji ili japo nipate pesa kwaajili ya kujiajiri.NAOMBA KUWASILISHA.
 
wanajf naomba mnijuze kama kuna kazi zozote zinazotangazwa kwa form 6 leaver?kwani natafuta mtaji ili japo nipate pesa kwaajili ya kujiajiri.NAOMBA KUWASILISHA.

Kama una business idea nzuri tuwasiliane (PM) tuwe business partners, mie mtaji siyo shida ila sina muda wa kusimamia biashara.
 
Back
Top Bottom