Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,600
- 218,003
- Thread starter
- #21
Nimemsikia Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro alipokuwa anaongea na waandishi wa habari , ameongea mengi na wala hakuna haja ya kuyarudia tena hapa, lakini nitagusia machache hasa kwenye Wapinzani kutishiwa maisha , kwa maana ya kutishiwa kuuawa....
Wapuuzi kabisaKwanza atuambie kwanini waliashiriki kuwakamata wakala wa chadema na ACT wakati wa zoezi la upigaji kula bila sababu za za msingi au za kutunga za wasimamizi na kuwazungusha Kisha kuwarudisha kwenye vituo bya kupigia kuta bila kuwafungulia mashtaka.hiyo nafasi ya wazi alimwachia Nani ili iweje?
Ohooooo !!Asijibiwe yeye atakutana nao za The Hague , na hivi hajui Kiingereza sijui atajiteteaje ? Hata huyo Kabudi atawstetea wote ataweza ?
Never argue with a foolNimemsikia Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro alipokuwa anaongea na waandishi wa habari , ameongea mengi na wala hakuna haja ya kuyarudia tena hapa, lakini nitagusia machache hasa kwenye Wapinzani kutishiwa maisha , kwa maana ya kutishiwa kuuawa.
IGP anakanusha na kupinga wanasiasa kutishiwa maisha na anabeza kitendo hicho as if wapinzani hao wametunga , na amefikia hitimisho kwamba hakuna aliyetishwa na kwamba jambo hilo limezushwa ili kuwezesha wapinzani hao kuishi nje ya nchi kama walivyopanga ili kuichafua Serikali.
Je, umefika wakati wa wapinzani nao kujibu kikamilifu kauli ya IGP ili kubalance Story au wakae kimya na kuacha kauli ya Sirro iwe ndio ya Mwisho?
Wazungu wanauliza zilikopelekwa hela za corona .Dona Kantirii huwa inachafuliwa kweli?
Zimetumika kwenye mabango ya mgombeaWazungu wanauliza zilikopelekwa hela za corona .
True! Never! Watu hawatatofautisha.Never argue with a fool
Ni vizuri wakijibu, lakini hata wakikaa kimya haiwezi kugeuza ukweli kwamba watu wamekimbia kwa kusalimisha roho zao na kwamba jeshi la polisi Tanzania kwa sasa limepoteza weledi. Watanzania waliowengi hawaamini tena jeshi la polisi.Nimemsikia Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro alipokuwa anaongea na waandishi wa habari , ameongea mengi na wala hakuna haja ya kuyarudia tena hapa, lakini nitagusia machache hasa kwenye Wapinzani kutishiwa maisha , kwa maana ya kutishiwa kuuawa.