FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,039
- 40,701
Je , kuna umuhimu wa kuanzishwa kiwanda cha majembe ya mkono Tanzania au ni vyema tu tukaendelea kutumia fedha adimu za kigeni kuagiza majembe toka China?
Hahahah, sasa si ndio kiwanda cha majembe kianzishwe ili kunusuru watu wasilimie meno?Majembe ya kazi gani wakati watu wanaanza kulimia meno.
Yaani karne ya 21 tunafikiria kutengeneza kiwanda cha majembe ya mkono?Hahahah, sasa si ndio kiwanda cha majembe kianzishwe ili kunusuru watu wasilimie meno?
Sasa kama bado mahitaji ya jembe la mkono ni makubwa tufanyeje? Na hatuna kiwanda hata kimoja cha majembe hadi leo hiiYaani karne ya 21 tunafikiria kutengeneza kiwanda cha majembe ya mkono?
Kwa nini tusifikirie kutengeneza matrekta? Au basi hata plau ya kuvutwa na ng'ombe?
Ukitaka kujua tusivo makini kwa vipambele kama taifa, swala hilo ni mfano hai. Jembe la mkono ni muhimu katika familia yo yote. Kama kweli hakuna kiwanda cha jembe na panga, inasikitisha.Sasa kama bado mahitaji ya jembe la mkono ni makubwa tufanyeje? Na hatuna kiwanda hata kimoja cha majembe hadi leo hii
Tunavyo Bana!!!wap Z.Z.K Mbeya?
Kiufupi hakuna hata jembe moja linalozalishwa pale, ni propaganda tuTunavyo Bana!!!wap Z.Z.K Mbeya?
Mo Dewji anaagiza mapanga toka China na kubandika label ya 'Mo panga', it seems kuna incentives kubwa zaidi kuagiza toka nje kuliko kuzalisha ndani, labda tusubiri huo umeme wa bei nafuu toka Rufiji, pengine gharama za uzalishaji nchini zitashuka kiasi cha kuweza kushindana kwenye sokoUkitaka kujua tusivo makini kwa vipambele kama taifa, swala hilo ni mfano hai. Jembe la mkono ni muhimu katika familia yo yote. Kama kweli hakuna kiwanda cha jembe na panga, inasikitisha.
Sawa tu. Sisi tunawapa bure 'mchanga' wao wanatuuzia majembe.Je , kuna umuhimu wa kuanzishwa kiwanda cha majembe ya mkono Tanzania au ni vyema tu tukaendelea kutumia fedha adimu za kigeni kuagiza majembe toka China?
View attachment 1166246