Je kuna haja ya kusherehekea mwaka mpya au hakuna haja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kuna haja ya kusherehekea mwaka mpya au hakuna haja

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by nitonye, Jan 4, 2012.

 1. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  huu ni mjadala unaoendelea bbc , tupia maoni hapa
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 180
  Hakuna haja.
   
 3. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,296
  Likes Received: 4,723
  Trophy Points: 280
  kila mtu ana mwaka wake mpya yaani birthday. kama waislam wana mwaka wao mpya, wakristo wana mwaka wao mpya, figganigga ana mwaka wake mpya. sema tunachofurahia ni kuona tunaendelea kuishi. Mia
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Kwa nini hakuna haja?
   
 5. P

  Pure nomaa JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 702
  Likes Received: 323
  Trophy Points: 80
  Haja ipi?kubwa au ndogo!
   
 6. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Unayoijua wewe
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 180
  kwasababu hakuna.
   
 8. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,163
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Wakati ulikuwa unafyatua mafataki na kuchoma matairi barabarani kwenu au nimekufananisha
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,793
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  as per your choice Sir..!
   
 10. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,427
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  wenye haja kubwa tu ndo washerehekee
   
 11. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kuna haja ndio kwa kuwa tunamshukuru mungu ametuvusha salama maana kuna wengine wameshindwa kuvuka mwaka
   
Loading...