Je, kuna faida yeyote ya mtu kusoma kisomo kikubwa?

Sijui nitakuwa nimekuelewa lakini ninavyojua elimu ni maarifa ayapatayo mtu yanayohusu jambo fulani lenye faida kwake.Sasa kama wewe una ujuzi wa jambo fulani inakuwa vizuri zaidi uendelee kuapata maarifa zaidi kuhusiana na ujuzi wako.

Wewe umesomea ualimu kwa maana ya kuhamisha maarifa uliyo nayo kwenda kwa mtu,sasa kwanini usiendelee kupata maarifa zaidi na zaidi ya kazi yako hiyo ya ualimu ili uweze kuwa na ufanisi zaidi katika kazi yako ? ,
 
Back
Top Bottom