Je kuna faida gani kwenye KILIMO KWANZA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je kuna faida gani kwenye KILIMO KWANZA?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mohammed Shossi, Apr 30, 2012.

 1. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Kwa yeyote anaefahamu naomba alinijulishe kama kuna faida yoyote mkulima anayoweza kunufaika nayo kutoka kwenye program ya kilimo kwanza kama mafunzo, dawa za mimea na mbolea. Kuondolewa kodi kwenye machinery kwa ajili ya kilimo na kadhalika.

  Ahsanteni.
   
Loading...