Mandison
Senior Member
- Mar 10, 2017
- 191
- 109
Habari wana JF. Naomba kujua kama kuna dawa ya kuozesha visiki vya miti baada ya kukata miti shambani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii njia inafanya kazi Mkuu?Fanya hivi, chukua maji yawekee chumvi then loweka misumari ya 5" au 6" kwa usiku mzima, kesho yake gonga msumari mmoja kwenye kila kisiki vitakauka na kuoza kwa muda mfupi sana.
Ngoja nifanye hiyo experimentFanya hivi, chukua maji yawekee chumvi then loweka misumari ya 5" au 6" kwa usiku mzima, kesho yake gonga msumari mmoja kwenye kila kisiki vitakauka na kuoza kwa muda mfupi sana.
Hii njia inafanya kazi Mkuu?
Pia nimeambiwa hata maji ya betri ukimwagia kuzunguka kisiki kina rest in peace.
MKuuu acha uvivu chimba kisiki ng'oa hiyo ndio tiba nzuri
Maji ya betri yana athari za muda mrefu ardhini, achana kabisa kutumia kemikali yoyote kuua kisiki au magugu. Hata chumvi si nzuri ikizidi ardhiniHii njia inafanya kazi Mkuu?
Pia nimeambiwa hata maji ya betri ukimwagia kuzunguka kisiki kina rest in peace.
Maji ya betri yana athari za muda mrefu ardhini, achana kabisa kutumia kemikali yoyote kuua kisiki au magugu. Hata chumvi si nzuri ikizidi ardhini
Njia rahisi ni kupalua magome ya mti ubaki nyama tu utakauka taratibu na baadae kubaki kuni, pia kupigilia misumari ya 5" 6" inasaidia kuua mti
Sent using Jamii Forums mobile app
Uvivu ukizid inakuwa ni shida.
Na kesho atakuja kuuliza jinsi ya kulima shamba kwa kutumia kompyuta.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mie visiki vinanisumbua sana, siyo rahisi kung'oa visiki kwa kuchimba kimoja kimoja hasa kwa shamba kubwa, bila shaka uzi huu utanisaidia pia.Habari wana JF. Naomba kujua kama kuna dawa ya kuozesha visiki vya miti baada ya kukata miti shambani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu unakuwa shamba la heka 30 na visiki ni vingi sana huwezi kuving'oa ukaviwezaHata mie visikiHata mie visiki vinanisumbua sana, siyo rahisi kung'oa visiki kwa kuchimba kimoja kimoja hasa kwa shamba kubwa, bila shaka uzi huu utanisaidia pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana JF. Naomba kujua kama kuna dawa ya kuozesha visiki vya miti baada ya kukata miti shambani.
Sent using Jamii Forums mobile app