Je, kuna dawa ya kuozesha visiki vya miti?

Fanya hivi, chukua maji yawekee chumvi then loweka misumari ya 5" au 6" kwa usiku mzima, kesho yake gonga msumari mmoja kwenye kila kisiki vitakauka na kuoza kwa muda mfupi sana.
Hii njia inafanya kazi Mkuu?

Pia nimeambiwa hata maji ya betri ukimwagia kuzunguka kisiki kina rest in peace.
 
Maji ya betri yana athari za muda mrefu ardhini, achana kabisa kutumia kemikali yoyote kuua kisiki au magugu. Hata chumvi si nzuri ikizidi ardhini

Njia rahisi ni kupalua magome ya mti ubaki nyama tu utakauka taratibu na baadae kubaki kuni, pia kupigilia misumari ya 5" 6" inasaidia kuua mti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inachukua muda gani mpaka kuua na kukauka kabisa mkuu...?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom