Remediogabikwa
New Member
- Apr 24, 2019
- 2
- 0
Ninaumwa kifua miaka 3 sasa ilionekana uvimbe kwenye pafu la kulia lkn wakipima hawaoni kitu, ninashindwa kupumua na ninakohoa damu! Ila awali nilipima wakasema nina wadudu wengi wa amiba ambao wamepanda kwenye pafu! Sasa nilitumia dawa zaid ya mara 7 ila sikupata nafuu! Mpaka sasa ninashindwa kupumua kabisa na ninakaa sehemu moja siwezi kutembea! Naomba ushauri jamani.