Je kumwacha mkeo ni halali??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
Mtu atamwacha baba na mama na kumfwata mumewe
alichokiunga MUNGU mwanadamu awezi kukitengenisha
Tangu Mwanzo mpaka kitabu cha ufunuo sijaona Mungu aliumba kaka na dada ama mjomba na shangazi ama babamkubwa na mdogo
aliumba mke na mume..sasa basi hizi talaka za kila siku zinazoendelea kutolewa mahakamani ni sawa???wewe uliolewa ujaolewa kwa bahati mbaya
warumi 5:14,17
itakusaidia zaidi...kabla dhambi aijaingia kulikuwa na mfumo wa utawala ..ambao mtu alikuwa akitumia sura ya Mungu kutawala ..Mtu aliumbwa atawale ulimwengu huu...mfumo wa zamani ulikuwa dunian lakini mufmo mzima toka mbinguni ndio maana ukisali unasema ufalme wake uje mapenzi yake yatimizwe ..uwezi kuja ufalme wa Mungu wakati unatimiza mapenzi ya shetani hata siku moja...

Embu kama mnatarajia kwenda kuachana wiki ijayo kaeni mkafikirie kwanza maandiko ya Mungu yanasemaje
Jumapili njema
 
hakuna anaependa kuacha au kuachwa,lakini kuna matatizo mengine huwa kuwa safe ni bora kuachana.kuna mengine yanasuluhishika na yanatatulika mnasameheana. na mengine hayasuluhishiki.kwa dini yangu mimi talaka ni ruksa pale ambapo pana budi
 
mi kwa ushauri tu hakuna asie na matatizo na ni vizuri kuanza kuelezana matatizo yenu nyumban badala ya kukimbilia kwa mashemeji ama marafiki ..soln ya ndoa ikokwenu wenyewe m nashukuru hili mamamdidy alilielewa mapema zana so biashara ya kwenda kwa wazazi kukaa kikaoni hakauna hiyo...la muhimu usisubirir kuanza kuomba MUNGU akusaidie ndoa yako mpaka uchapwe kwenye ndoa no anza siku unaagwa kwenye ile ukumbi nakwambia kama uamini kaangalie zawadi ulizopewa na sio wote wanaokushia pale unahsii wanakupa hongera ya kweli wengine washasemea a mikono yao ukingia ndan ya nyumba unajiuiza keleuwii ni huyu kweliii wachaga wakizdiwa tunaita yeleuwiiiiiiiii ni huyuuuuuuuuuu ddeee vviiddii yani dau ,,,
 
Kwa mfano unachungulia chumba cha gesti, unamfuma mkeo anapigwa msumari na jamaa, tena kwa staili ngeni ngeni halafu mtu anakuambia umsamehe, basi utakuwa na mtindio wa ubongo.
 
Biblia nenda nayo polepole.............................ukisoma Mark 10:4-12 & Malaki 2:15-4-16 imemeza yote uliyoyanukuu hapa lakini ukisoma Mathew 19:9 na ninaomba ninukuu:- ""And I say to you, whoever divorces his wife, except for sexual immorality, and marries another commits adultery; and whoever marries her who is divorced commits adultery."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom