Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,015
- 54,296
Salam!
Wataalam na Madokta wa jukwaa hili, kuna jamaa mmoja kwa msisitizo kabisa alikuwa anasimulia kuwa Wanaume wanaofanya mapenzi kama njia ya kuzuia mimba kwa kufanya mapenzi na kukojoa nje ni makosa kitaalam.
Inatakiwa unapofikia mshindo mwanaume unatakiwa umwage ndani ndiyo tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume halitakukabili pia anasema kukojoa nje na kupiga punyeto hakuna tofauti.
Anasema unamwaga nje kuna mishipa katika sehemu za siri za mwanaume lazima ziminywe na sehemu za siri za mwanamke ndiyo hutapungukiwa nguvu.
Tafadhali wajuzi naomba kueleweshwa kuna ukweli wowote hapo maana kuna wadau wanatumia njia hii kama ya kupanga uzazi.

Baadhi ya maoni yaliyotolewa na wadau wa JF
---Kennedy,
Njia hii kitaalam hujulikana kama COITUS INTERUPTUS au WITHDRAWAL METHOD au PULL-OUT METHOD.
Mpaka sasa hakuna taarifa/ uthibitisho wa kisayansi unaoonyesha kuwa njia hii inaweza kupunguza kwa nguvu za kiume.
So go for it !!!
Kennedy, Huwezi kuizuia mimba kwa kukojolea nje unajidanganya. Kama wewe ni mwanaume unayezalisha hata tone moja tu la manii linamvimbisha mtu wakati ukishakojoa na kuendelea na mapenzi manii huendelea kuvuja ukeni sasa hiyo formula kakudanganya nani.
Mwanamke akiwa kwenye joto la mimba hata ukikojoa chini akazichota na kidole akaingiza ukeni anabeba mimba. Msicheze na manii za mwanaume mzima ni zaidi ya mabomu ya Kim.
Zipo njia za kuzuia kubeba mimba za kisasa na za kienyeji na kila moja ina madhara yake.
1.uzazi wa mpango.
i. Kalenda;hii ni nzuri kwa wasomi sana na ikiwa mzunguko wa mwanamke ni sawa haubadiliki ovyo.
Ni rahisi kubeba mimba hasa ukisahau au ukiugua ghafla tarehe zikachange.
Ni nzuri pia kwa kuwa kiafya utakuwa salama.
ii. Pills, sindano na vitanzi.
Zinafaa kwa wote wasomi na wasio wasomi pia husaidia kuondoa hofu kwa wazazi.
Husogeza kuzazi mbali kiasi kwamba mtu aweza acha kutumia ili azae na akashindwa kubeba mimba.
Hutungisha mauvimbe mwilini na kuleta kansa kadhaa mwilini ikiwa zimekutana na mpambano mwingine mwilini.
Nchi nyingi za ulaya huzalisha dawa hizi kama sehemu yao ya biashara na nchi nyingine zimepigwa marufuku kwa sababu za kiimani kidini au kiafya.
2.za asili.
i. Mitishamba.
Kuna imani kuwa mwanamke akishazaa hutumia baadhi ya mizizi ili kuzuia mimba. Hii haiko biologically sana kwa kuwa tafiti kamili hazijathibitika.
ii. Damu ya hedhi.
Matumizi ya damu ya hedhi ya awali ya mwanamke yanayowekwa pamoja na mizizi kadhaa ya mti unaoteleza kisha kuwekwa ktk tete na kufungwa juu na gundi ya nyuki ambapo mlengwa huamua kuficha kwa kufukia ardhini mahali atakapokumbuka au kuficha ajuavyo. Dawa hii huenda na manuizi.
Humhakikishia kutobeba mimba vyovyote iwavyo.
Madhara yake ni kwamba kuna wengine husahau alipofukia pindi atakapohitaji kupasua au kufunua ili abebe mimba na hivyo kuishia na idadi ya watoto alionao.
Mazingira aliyoficha mfano kufukiwa yaweza kuharibiwa bila yeye kujua na kujikuta kabeba mimba ikiwa kalikatwa alipoweka.
Ni mbinu inayoaminika sana japo haina biological facts sana zaidi ya kuonekana kama uchawi.
Asilimia kubwa ya watu wameshindwa kuzaa kubeba mimba kwa kuwa tu walishindwa kutunza nguo zao za bridi wakiwa mabinti hivyo kuchukuliwa na watu wabaya. Makabila yote huhimiza mtoto wa kike kuficha bridi yake nadhani siri yake ni hapo hapo.
Zipo mila ambazo zaweza kuwa dhambi na zile zisizo dhambi kwa MUNGU. Naomba nisifafanuliwe vibaya au kuonekana tofauti kwa ufafanuzi huu.
Mtu aliyeabudu dini zote anaujua ukweli zaidi kuliko aliyeabudu ktk dini moja.
Sent using Jamii Forums mobile app