Je, kucha zilisha mgharimu Zari kama wengine?

kababae

JF-Expert Member
Sep 18, 2017
280
246
Habari wakuu, Naomba kuuliza kama yanayosemwa na watu wengi kuwa kucha husababisha "k" kutema.. kuna picha mbali mbali Zari ameonekana na kucha ndefu, swali. Ni je kucha ndefu ndio chanzo cha Hamisa kuzaa na Diamond??

Msaada jamani napenda kujifunza vitu vipya.. ili nikoa mke asifuge mikucha..
Screenshot_20171110-205446.png
 
Hizo kucha haziathiri chochote kwenye kujisafisha...mana hairuhusiwi kujiingiza vidole,,ni anaosha tu vzuri USO wa uke na Maji mengi masafi anatakata,,labda kucha zihifadhi uchafu wa huko chini km upo ila anajisafisha tu,,,uke unasafishwa km uso tu,,,bila kujiingza mavidole

Ingawa kucha ndefu kwa mtu mwenye kinyaa ni uchafu hasa kwenye maandalizi ya chakula,,mana sometimes huweka uchafu sasa ukikara nyanya uchafu unaweza kutoka ukaingia kwenye nyanya au Michele unaooshwa a mboga za majani
 
+255620000000 namba ya diamond hiyo hapo ebu mpigie umuulize ningekupa ya Ivan sema ndiyo hivyo ashatangulia mbele ya haki aliko hakuna network.
 
Back
Top Bottom